Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ndio maana daimond ameona wapange kwingine na hamissa ,yaan shamte anaishi madale hahaahahh kubwa jinga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] bwana anakaa nae kwa mwanawe!
Mama hawezi kukubali daimond akae mbali naye
Ana wivu
Nami nahisi na niliisikia hivyo kwanini anampangia mwanae wanawake si alikarabatiwa ile nyumba ya tandale si akaishi huko na bwana akeIsije kuwa domo na mamaake wanaka...z...na...hii stori huku sinza mori inavuma mnooo
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] mama hajitambui yaani kamkomesha sasa ndo nini!!!kaenda zake kumpangia habari hapatiNdio maana daimond ameona wapange kwingine na hamissa ,yaan shamte anaishi madale hahaahahh kubwa jinga
Yaan anamcontrol daimond naona dai nae kachoka ,yaan mimi huwaga sina bahati na kuwa na mama mkwe nakuta bwana zangu wamefiwa na mama zao wengine yatima kabisa ,yaan mim mama daimond angenitambua nisingempiga ila ningembana mwanae mpaka aende kwa waganga wotee,,kwa hiyo hampendi Dully hahahah[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] mama hajitambui yaani kamkomesha sasa ndo nini!!!kaenda zake kumpangia habari hapati
[emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji2] hana lolote mashauzi tu!yule mama ana wivu anahisi diamond akioa atakosa baadhi ya vitu hilo ndo tatizo lake!Yaan anamcontrol daimond naona dai nae kachoka ,yaan mimi huwaga sina bahati na kuwa na mama mkwe nakuta bwana zangu wamefiwa na mama zao wengine yatima kabisa ,yaan mim mama daimond angenitambua nisingempiga ila ningembana mwanae mpaka aende kwa waganga wotee,,kwa hiyo hampendi Dully hahahah
Hamisa ndio dawa yake[emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji2] hana lolote mashauzi tu!yule mama ana wivu anahisi diamond akioa atakosa baadhi ya vitu hilo ndo tatizo lake!
Anahis mwanawe atachunwa ila kila mwanamke wa dai basi hafai kuanzia Wema,Zari mpk Hamisa na wengineo yaani huyu anatakiwa ampate mwanamke kichefuchefu amkomeshe ajutreee!!!
Na Hamisa anamkomesha haswaa dogo yaani mpk kaenda kumpangia kungine[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo dawa yake ile mmama yule..Hamisa ndio dawa yake
Daimond hata akioa atamjali tu wasiwasi wa nini halaf hapo madale kwani alimjengea yeye au kanajiweka kifua tu,kalimuambiaga zari kigoma hatoki boi
Halaf kanamganda daimond ,nae amekazoesha kwenda nae kila sehemu wakati mwanae anafanya kwa wema tu
Ahahahahahahahah kazi ipo cha kufanya hamisa azae wengine tena naona kitumbo kinakua hivi au macho yanguNa Hamisa anamkomesha haswaa dogo yaani mpk kaenda kumpangia kungine[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo dawa yake ile mmama yule..
Amuache tu madale akae ndo ashamhama hvyoo! Mama dai kinyago alichokichonga Leo kinamtishaaa!
Wamekutana Mmanyema na Mnyamwezii
Na Hamisa anamkomesha haswaa dogo yaani mpk kaenda kumpangia kungine[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo dawa yake ile mmama yule..
Amuache tu madale akae ndo ashamhama hvyoo! Mama dai kinyago alichokichonga Leo kinamtishaaa!
Wamekutana Mmanyema na Mnyamwezii[/
Kumbe Hamissa ni mnyamwezi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yule bibi atakufa kwa presha looh!!!natamani abebe ya mapachaAhahahahahahahah kazi ipo cha kufanya hamisa azae wengine tena naona kitumbo kinakua hivi au macho yangu
Niliambiwaga watoto wa kinyamwezi wazuri..Naanza kuamini Wema, Hamisa...Mnyamwezi ndio
Vip Mama Wema...?Mama Diamond, Mama Mobeto na mama Kanumba wamama wapenda kiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na wanajuaaa!!!!Niliambiwaga watoto wa kinyamwezi wazuri..Naanza kuamini Wema, Hamisa...
Na ving'ang'anizi piaNiliambiwaga watoto wa kinyamwezi wazuri..Naanza kuamini Wema, Hamisa...
Yeah sure ..Nilikuwaga na demu wangu wa kinyamwezi anaitwa Mkamiti..I say nilikuwa nampiga miti huyoooNa ving'ang'anizi pia
hahaha seriously?Isije kuwa domo na mamaake wanaka...z...na...hii stori huku sinza mori inavuma mnooo