Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] mama hajitambui yaani kamkomesha sasa ndo nini!!!kaenda zake kumpangia habari hapati
Yaan anamcontrol daimond naona dai nae kachoka ,yaan mimi huwaga sina bahati na kuwa na mama mkwe nakuta bwana zangu wamefiwa na mama zao wengine yatima kabisa ,yaan mim mama daimond angenitambua nisingempiga ila ningembana mwanae mpaka aende kwa waganga wotee,,kwa hiyo hampendi Dully hahahah
 
[emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji2] hana lolote mashauzi tu!yule mama ana wivu anahisi diamond akioa atakosa baadhi ya vitu hilo ndo tatizo lake!

Anahis mwanawe atachunwa ila kila mwanamke wa dai basi hafai kuanzia Wema,Zari mpk Hamisa na wengineo yaani huyu anatakiwa ampate mwanamke kichefuchefu amkomeshe ajutreee!!!
 
Hamisa ndio dawa yake
Daimond hata akioa atamjali tu wasiwasi wa nini halaf hapo madale kwani alimjengea yeye au kanajiweka kifua tu,kalimuambiaga zari kigoma hatoki boi
Halaf kanamganda daimond ,nae amekazoesha kwenda nae kila sehemu wakati mwanae anafanya kwa wema tu
 
Na Hamisa anamkomesha haswaa dogo yaani mpk kaenda kumpangia kungine[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo dawa yake ile mmama yule..
Amuache tu madale akae ndo ashamhama hvyoo! Mama dai kinyago alichokichonga Leo kinamtishaaa!

Wamekutana Mmanyema na Mnyamwezii
 
Ahahahahahahahah kazi ipo cha kufanya hamisa azae wengine tena naona kitumbo kinakua hivi au macho yangu
 
Na Hamisa anamkomesha haswaa dogo yaani mpk kaenda kumpangia kungine[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo dawa yake ile mmama yule..
Amuache tu madale akae ndo ashamhama hvyoo! Mama dai kinyago alichokichonga Leo kinamtishaaa!

Wamekutana Mmanyema na Mnyamwezii[/

Kumbe Hamissa ni mnyamwezi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mambo yanafurahisha sjui yanashangaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama Diamond nilikutana nae Gym, yuko fit sana msimtanie hoo.
 
Back
Top Bottom