Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Nyumba ni ya mama yake na aliandika jina la mama yake.
 
Hamisa kapangiwa chumba kimoja gorofani kwa meneja salam na anakaa na mama yake sasa wangeendaje kudinyana huko. Labda wangeenda hotelini.
 
Huyu Mama ni Pasua kichwa, Vurugu zote hizo ni hataki mwanae apate mke maana anajua akishapata mke yeye hatachukuliwa tena kwenda batani
 
Mama mzazi wa nasib Abdul amefunguka ukweli kuhusu tetesi za kwamba alimpiga na kumuumiza hamisa mobeto mpaka akabaki na wigi mkononi.
 
Hamisa kapangiwa chumba kimoja gorofani kwa meneja salam na anakaa na mama yake sasa wangeendaje kudinyana huko. Labda wangeenda hotelini.
Dah diamond kashindwa kumpangia nyumba kweli!!!!!
Basi waende hata hotels au ndo wanaogopa paparazi
 
Zari kwenda na kupeleka watoto church hakukosea .kuna nguvu inatenda kazi. KUNAPOPAMBAZUKA LAZIMA GIZA LITOWEKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…