Nyumba ni ya mama yake na aliandika jina la mama yake.Mama diamond kaolewa kwanini anaishi nyumbani kwa mwanae na huyo mme?
Diamond anaishi na mama na baba wa kambo je hapo madale ni kwake au kwao?
Diamond na Hamisa Kwanini wakapiganie miti hapo, Hamisa hana nyumba diamond aende? Hawawezi kwenda hata hotelini
Hii familia ina vichaa