Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Mama Diamond aeleza alivyomdunda Mobeto

Mama kuwa mstaarabu huyo ni mama wa mjukuu wako.
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mama mwanawe hawezi kuoa hata siku mojaa!!ana wivu mnooo kwa kijana wake!

Nakumbuka Wema alishasimuliaga alikua akilala na diamond kipindi wako Sinzaa mama alfajir anaenda kumgongea mwanawe kila siku saa ingine usiku wa manane!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] Hafai hata kidogooo!!yaani mwanamke wa kumuoa Diamond ajipange haswaa
 
Mama mkwe hataki kuchemshwa wala kuungwa mchuzi
 
Nilitaka kusema atafute bwana kumbe anae. Diamond nae anayapenda lakini. Kwanini aishi na mama ake nyumba moja?
 
Mama mkwe hataki kuchemshwa wala kuungwa mchuzi
Ana hila balaa!anahisi Diamond akioa atapoteza haki zote hata hvyo Zari amejitahidi mnoo kuishi nae, maana mpango wa Hamisa stering Bi.Sandra ukitaka kujua unafiki wake kwa nini alimkaribisha kwake akakaa nae huku dai yuko na Zari?!!huyu mama kila mwanamke wa mwanawe atakua mbayaa
 
Back
Top Bottom