King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hivi hawa wasanii wa kiume hawawezi kupendeza bila kusuka nywele,kupaka shedo au kuvaa hereni?
"Mimi ndio msanii pekee sina rasta sina hereni ila nina vina tele" - Solo Thang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa wasanii wa kiume hawawezi kupendeza bila kusuka nywele,kupaka shedo au kuvaa hereni?
Haugui kadanjaHivi hizi story za John kuugua ni kweli au za kijiweni tu? Mbona haonekani?
Please polisi msinikamate, mi sisambazi taarifa, nauliza tu.
Doh!!!Haugui kadanja
Wanasema "Uchungu wa mwana aujuaye mzazi"Mama anakaba kwa mwanae kuliko anavokaba kwa bwanake anko shamte a.k.a mfugo
Kwa huyo mama ni kama vile "utamu wa mwana aujuae mama"Wanasema "Uchungu wa mwana aujuaye mzazi"
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa huyo mama ni kama vile "utamu wa mwana aujuae mama"
Nafanya kazi mzena.E bhana ee! Ulijuaje?
Umemaliza Domo Ana maadili gani?mama yake anayefukuza mademu zake Domo kila Leo Ana maadili gani?mama mwenyewe aliyekulia tandale uswahilini Ana maadili gani?mxiuuuuDiamond ana team ya machawa ambayo kazi yao ndio hiyo: kumletea mademu vna mapunga.
Wakati hana hela, alikuwa anamtumia Halima Kimwana.
Sasa hivi kapata hela, makuwadi wameongezeka wenyewe.
Kujifanya mko ethical sasa hivi ni upuuzi tu na unafiki wakati maisha yenu yake ndivyo yalivyo hivyo.
Unaweza kukuta, waliwasiliana na mwenzio Kamgeuka Shilole.
Diamond mpuuzi, Shilole mpuuzi na mashabiki mapooza.
Umemaliza Domo Ana maadili gani?mama yake anayefukuza mademu zake Domo kila Leo Ana maadili gani?mama mwenyewe aliyekulia tandale uswahilini Ana maadili gani?mxiuuuu
Tulia acksonPicha kama mwanasiasa fulani mtaje ukipata utashinda 20,000 ya chai.
Hapo tatizo ni shule.Ila shilole nae ana kihereheree alishindwa kuongea na dai kimya kimyaaa
Ila Dai akampotezea yule dada hata kumchangamkia hakuna jamani
Ila tuseme ukweli ile ilikua ni mida ya kazi. Ame-divert press nzima ya Mbosso.Inamana humesahau kua amezaliwa na kukulia tandale au umeamua kujitoa ufahamu?!
T AckPicha kama mwanasiasa fulani mtaje ukipata utashinda 20,000 ya chai.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Diamond ana team ya machawa ambayo kazi yao ndio hiyo: kumletea mademu vna mapunga.