Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Natuma pesa wapiTulia akson [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natuma pesa wapiTulia akson [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuwa mpenzi mtazamajiNatamani kuelewa huu uzi lakini sijui nini kinaendelea
Mleta uzi we ni mwanaume??Nimejaribu kulifuatilia Hili sakata vizuri la shilole kumleta inadaiwa kuwa ni mshabiki huyo wa kike wa diamond kutoka ufaransa.Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri shilole alichokosea sio kunipeleka huyo shabiki kwa diamond alichokosea yeye ni sehemu alipompelekea pale diamond alikuwa kwenye masuala yake ya biashara wewe unamleta mwanamke amevaa nusu utupu alafu unamtambulisha kwake seriously? Kwanini asingempigia simu kwanza kumjulisha ukizingatia ana number yake kuliko kumshtukiza vile kitendo nimeona kimewaboa kabisa managers wa diamond na diamond mwenyewe wameonesha kutofurahia kitendo kile.
Diamond ana team ya machawa ambayo kazi yao ndio hiyo: kumletea mademu vna mapunga.Nimejaribu kulifuatilia Hili sakata vizuri la shilole kumleta inadaiwa kuwa ni mshabiki huyo wa kike wa diamond kutoka ufaransa.Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri shilole alichokosea sio kunipeleka huyo shabiki kwa diamond alichokosea yeye ni sehemu alipompelekea pale diamond alikuwa kwenye masuala yake ya biashara wewe unamleta mwanamke amevaa nusu utupu alafu unamtambulisha kwake seriously? Kwanini asingempigia simu kwanza kumjulisha ukizingatia ana number yake kuliko kumshtukiza vile kitendo nimeona kimewaboa kabisa managers wa diamond na diamond mwenyewe wameonesha kutofurahia kitendo kile.
Mbona kama vile una hasira?Diamond ana team ya machawa ambayo kazi yao ndio hiyo: kumletea mademu vna mapunga.
Wakati hana hela, alikuwa anamtumia Halima Kimwana.
Sasa hivi kapata hela, makuwadi wameongezeka wenyewe.
Kujifanya mko ethical sasa hivi ni upuuzi tu na unafiki wakati maisha yenu yake ndivyo yalivyo hivyo.
Unaweza kukuta, waliwasiliana na mwenzio Kamgeuka Shilole.
Diamond mpuuzi, Shilole mpuuzi na mashabiki mapooza.
Darmian Hili ni jukwaa la celebrity vitu kama hiv lazima tuvijadiliKafanye kazi wewe,acha kufwatilia mambo ya kingese kama videmu vya buguruni kwa mnyamani..
Au mpigie shilole umwambie ulivyochukia.
Mbona una Fujo? Hebu TuliaHuu upumbavu utaisha lini??
Video ipowapiNimejaribu kulifuatilia Hili sakata vizuri la shilole kumleta inadaiwa kuwa ni mshabiki huyo wa kike wa diamond kutoka ufaransa.Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri shilole alichokosea sio kunipeleka huyo shabiki kwa diamond alichokosea yeye ni sehemu alipompelekea pale diamond alikuwa kwenye masuala yake ya biashara wewe unamleta mwanamke amevaa nusu utupu alafu unamtambulisha kwake seriously? Kwanini asingempigia simu kwanza kumjulisha ukizingatia ana number yake kuliko kumshtukiza vile kitendo nimeona kimewaboa kabisa managers wa diamond na diamond mwenyewe wameonesha kutofurahia kitendo kile.