Mama Diamond amvaa Shilole

Mama Diamond amvaa Shilole

Nimejaribu kulifuatilia Hili sakata vizuri la shilole kumleta inadaiwa kuwa ni mshabiki huyo wa kike wa diamond kutoka ufaransa.Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri shilole alichokosea sio kunipeleka huyo shabiki kwa diamond alichokosea yeye ni sehemu alipompelekea pale diamond alikuwa kwenye masuala yake ya biashara wewe unamleta mwanamke amevaa nusu utupu alafu unamtambulisha kwake seriously? Kwanini asingempigia simu kwanza kumjulisha ukizingatia ana number yake kuliko kumshtukiza vile kitendo nimeona kimewaboa kabisa managers wa diamond na diamond mwenyewe wameonesha kutofurahia kitendo kile.
 
Mleta uzi we ni mwanaume??
 
Diamond ana team ya machawa ambayo kazi yao ndio hiyo: kumletea mademu vna mapunga.

Wakati hana hela, alikuwa anamtumia Halima Kimwana.

Sasa hivi kapata hela, makuwadi wameongezeka wenyewe.

Kujifanya mko ethical sasa hivi ni upuuzi tu na unafiki wakati maisha yenu yake ndivyo yalivyo hivyo.

Unaweza kukuta, waliwasiliana na mwenzio Kamgeuka Shilole.

Diamond mpuuzi, Shilole mpuuzi na mashabiki mapooza.
 
Mbona kama vile una hasira?
 
Nimejaribu kulifuatilia Hili sakata vizuri la shilole kumleta inadaiwa kuwa ni mshabiki huyo wa kike wa diamond kutoka ufaransa.Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri shilole alichokosea sio kunipeleka huyo shabiki kwa diamond alichokosea yeye ni sehemu alipompelekea pale diamond alikuwa kwenye masuala yake ya biashara wewe unamleta mwanamke amevaa nusu utupu alafu unamtambulisha kwake seriously? Kwanini asingempigia simu kwanza kumjulisha ukizingatia ana number yake kuliko kumshtukiza vile kitendo nimeona kimewaboa kabisa managers wa diamond na diamond mwenyewe wameonesha kutofurahia kitendo kile.
Video ipowapi
 
Mtoa maada apewe nafasi ya kuandika tena uzi wake, wengine tupo pori hatuelewi nini kinaendelea
 
Hivi hizi story za John kuugua ni kweli au za kijiweni tu? Mbona haonekani?

Please polisi msinikamate, mi sisambazi taarifa, nauliza tu.
 
Back
Top Bottom