Mama Diamond amvaa Shilole

Alichokifanya sio sawa ni ujinga kwakweli, ana namba yake angemuita shishi food amuweke chakula mezani amuwekee na hilo zigo la kifaransa mezani....
Ila hilo zigo mbona kama la hapa hapa, kama zigo flani la pande za buza.
 
Umemaliza Domo Ana maadili gani?mama yake anayefukuza mademu zake Domo kila Leo Ana maadili gani?mama mwenyewe aliyekulia tandale uswahilini Ana maadili gani?mxiuuuu
 
Umemaliza Domo Ana maadili gani?mama yake anayefukuza mademu zake Domo kila Leo Ana maadili gani?mama mwenyewe aliyekulia tandale uswahilini Ana maadili gani?mxiuuuu


Mkuu kukulia uswahilini sio sababu ya kukosa maadili, tabia inategemea mtu na mtu tu. Wapo waliokulia Oysterbay lakini leo hii usiku wanajiuza mitaa ya Sinza.
 
Inamana humesahau kua amezaliwa na kukulia tandale au umeamua kujitoa ufahamu?!
Ila tuseme ukweli ile ilikua ni mida ya kazi. Ame-divert press nzima ya Mbosso.
Haya mambo alipaswa kumuambia diamond wakikutana club or kwenye shows huko na sio kwenye matukio ya kibiashara.
 
msosi kwenye zile restaurants zake umechachuka kiaina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…