Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmahhhh akwende zakeee
Mnamsingizia bi sandra
Mimi nimevutiwa na kiingereza chako tu
hicho kizungu kaongea mama dai au wewe
Mwenzangu mpaka nimefikicha macho nikidhani mimi ndio sioni vizuri!Hicho kingereza sasa ni balaaaa!!!
Hhhhaaaaaaaa stuna huyooo
Mwenzangu mpaka nimefikicha macho nikidhani mimi ndio sioni vizuri!
Hicho kingereza kimetoka huko ughaibuni atiiii!
Harafu nilikuwa sijaangalia vizuri,nimeitoa sehemu nikaileta Kama ilivyo
Kingereza hujui, kiswahili hujui, bora uandike kikurya chako tu.