Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
poa msijali uko bongo michosho mnapata pesa za kula tu na vifurushi vya internet
Usimfanye Honey Faith akazimia oooh yupo serious halaf sasa hivi yupo dar anaogelea tu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poa msijali uko bongo michosho mnapata pesa za kula tu na vifurushi vya internet
Usimfanye Honey Faith akazimia oooh yupo serious halaf sasa hivi yupo dar anaogelea tu
Haya kwa hiyo tusubirie jibu lini?
Mwenzangu na sie tukashike midolaliiii atiiii.Mwenzangu kwani akiongea kingereza unadhani utaniona hapa.Thubutuuu!!!
Hivi kumbe yeye anatania?mie nipo serious atiii
Hhhaaaaaaaaaaa jamani jamaniiii uwiiii
Si ndio nakushangaa hapa unamchokonoaaaà tumuombee na warumi nae akabebe boksi alivyo mbea sasa ataweza kulea watoto yulee
mi nipo serious pia nayajua maisha ya bongo si mazuri hadi mnaitwa dunia ya 3 ngoja niamke tutaongea vizuri inakaribia saa 10 alfajil sasa
Hivi kumbe yeye anatania?mie nipo serious atiii
mi nipo serious pia nayajua maisha ya bongo si mazuri hadi mnaitwa dunia ya 3 ngoja niamke tutaongea vizuri inakaribia saa 10 alfajil
Haya ukiamka na maswali mie kibaoo
Hahahaha haki ya nani warumi atafanya tuachishwe kazi kwa umbea wake maana kama namuona.Ila sasa je kingereza cha huko tutaweza kweli kupeana ubuyu???
kwani warumi ni jinsia gani?
mi nipo serious pia nayajua maisha ya bongo si mazuri hadi mnaitwa dunia ya 3 ngoja niamke tutaongea vizuri inakaribia saa 10 alfajil
Haya ukiamka na maswali mie kibaoo
sawa nikiamka nitakuita
Hahahaha haki ya nani warumi atafanya tuachishwe kazi kwa umbea wake maana kama namuona.Ila sasa je kingereza cha huko tutaweza kweli kupeana ubuyu???
Mmmh ni me,kwani we unataka wa kike tu?
huyo sitompeleka kulea watoto huyo atafanya general labor
kuna walatino uku na raia wengine hawajui english kabisa lakin boksi linaenda.
cha muhimu kama english ni shida mnipm nitawatumia video za kujifunza yani hizo ndani ya wik moja mnatapika ngeli kama hamna hakili nzuri.
Yaan tumbo linaniuma kucheka ujue kwa hiyo lazima tujue ngeli si tutaijulia huko huko ee