Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mbeba boksi huyoooooo
Wewe unataka ugomvi atiii!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeba boksi huyoooooo
Wewe unataka ugomvi atiii!!!
Kingereza hujui, kiswahili hujui, bora uandike kikurya chako tu.
Hii habari nimecopy na kupaste usitake kukuza mambo na nilikuwa sijaangalia vizuri.Umu hakuna mtu anayenishinda English,sababu ndio lugha yangu ya kwanza toka nimezaliwa sio kama yenu ya kujifunzia kwa nyambari
Mbeba boksi huyoooooo
Hadi kina kiranga,NN, mi mbona sijawahi kukuona ukiandika kienglish eti warumi na Honey Faith
mshahara wa wik wa mbeba boksi ni sawa na mshahara wa miezi 6 uko ngoja nilale ligi najua itaanza ya ubishani saa 9 usiku sasa
Wabeba boksi hoyeeeeeee,lala mwaego ukiamka utatukuta
Wabeba boksi hoyeeeeeee,lala mwaego ukiamka utatukuta
nitawakuta ,boksi linalipa sana
nikiandika kwa English hamkoment mnapitiliza tu lakin kama mtataka sawa nitaanza kesho
nitawakuta ,boksi linalipa sana
Hahahaha mbeba box leo umeshemsha kidogo ila sio mbaya maana hadi wa tandale leo tumekukosoa
nitawakuta ,boksi linalipa sana nikufanyie mpango uje ulee ata watoto wa rafik zangu utakuwa ukosi $ 1000 kwa week
Hahahaha mbeba box leo umeshemsha kidogo ila sio mbaya maana hadi wa tandale leo tumekukosoa
nikiandika kwa English hamkoment mnapitiliza tu lakin kama mtataka sawa nitaanza kesho
poa msijali uko bongo michosho mnapata pesa za kula tu na vifurushi vya internet
Muache mwenzio anasema anajua kizungu wewe akikusemesha usipoelewa usiniite
Ulivyo na ham na ulaya sasa heloooo