mtaijulia uku si lazima watu wengi hawajui ,mfano kuna kazi ukionyeshwa video tu jinsi ya kufanya utafanya tu ata kama lugha shida ukiona video vile kazi inafanywa lazima utajua tu
General labor ndio ninii
Kuwa mama harafu kijana wako mdogo akubadilishie waka mwana na Kazi yako uwe unauza nao sura kwenye mitandao na magazeti Uku wakibadilishwa Kama nguo na kijana wako harafu uone Kama utajisikia vizuri,harafu utasemaje namsingizia wakat picha ziko wazi au uoni Kapime macho
warumi umeambiwa atafanya general labour sijui atakuwa wodini anawasaidia wazungu kuzaaa🙁.Sasa huyo heaven na alivyoanataka kuolewa na mzungu kwake itakuwa ni advantage kubwa sanaShogaa sie si tunapeana kwa kiswahil tu ila warumi hamna tumuache tu,labda Heaven on Earth ila sijui atakubali kulea watoto tumidoli
warumi umeambiwa atafanya general labour sijui atakuwa wodini anawasaidia wazungu kuzaaa🙁.Sasa huyo heaven na alivyoanataka kuolewa na mzungu kwake itakuwa ni advantage kubwa sana
ni kazi unazotumia mfano mikono bila kupewa mafunzo au hazitaji uwe na uwezo bali ni maelekezo tu fanya hivi na hivi na unaanza kaz mara moja sio zile za kwenda kusomea .
Watu wengi wanafanya general labor na zinalipa vizuri tu.
general labor nyingi unalipwa kuanzia dolla 11 hadi 13 kwa saa haya ukifanya masaa 8 una ngap?
ukizidi masaa 8 kwa siku labda ukafanya 12 hayo 4 ni overtime itaongezeka nusu kama ni 11 utapata 16.5 kwa saa
ukifanya wikend ina double kama ni 11 inakuwa 22 dollar kwa saa
Hhhhaaaaaaaa stuna huyooo
mtaijulia uku si lazima watu wengi hawajui ,mfano kuna kazi ukionyeshwa video tu jinsi ya kufanya utafanya tu ata kama lugha shida ukiona video vile kazi inafanywa lazima utajua tu
ha ha ha mmh labda kapaste stunna mbona anaandikaga kizungu kizuri tu
Hizi kazi za kuonyeshwa kwa video hizi nimeanza kupatwa na wasiwasi, sasa watafanyakazi na nguo zao au?
Napendekeza Diamond amuoe mleta mada...Akimweka ndani huyu atatulia sana kwenye ndoa yake.
wambie labda na wewe,nimewambia nilitoa sehemu lakin wagumu ukiwa makini tu utajua nilitoa sehemu na sikuwa makin kuangalia
Harafu nilikuwa sijaangalia vizuri,nimeitoa sehemu nikaileta Kama ilivyo