Mama Diamond amwaga machozi kwa uchafu wa mwanae

Yeye msafi,ujue mama na baba wenye baadili haiwezekani mtoto wako akiwa maruufu nawe mzazi uwe maruufu.siku za nyuma huyo mama nae amekuwa akitukana hovyo hovyo,akawa akitokea kwenye magazeti kwa skendo tofauti tofauti.Lakini ni nani alimjuaga mama yake proffesor J,wakati umaruufu kaupata toka zamani.
 

Nami nitawafuata Dinazarde na Honey Faith
Makazi siyapo?
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu na maisha yake!
Kwani akilia ndo inasaidia nini?
Kama kuna mabaya anayoyaona basi amuombee mwanae
 
 
Na hapa napo Kiswahili bumbulas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…