Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wewe unafikiri hao wasanii waliopo sokoni tangu muda na sasa wanachukuliwa kawaida tu ni kwamba wanatoa ngoma mbovu?Sidhani kama Diamond anaweza kuporomoka kwa sababu ya mama kukosa busara au yeye kuto kwenda misibani bali kitakacho mporomosha ni kuto toa nyimbo nzuri tuuu