Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

Sidhani kama Diamond anaweza kuporomoka kwa sababu ya mama kukosa busara au yeye kuto kwenda misibani bali kitakacho mporomosha ni kuto toa nyimbo nzuri tuuu
Wewe unafikiri hao wasanii waliopo sokoni tangu muda na sasa wanachukuliwa kawaida tu ni kwamba wanatoa ngoma mbovu?
 
Ndio maana hata na Lemutuz hakwenda huko, maana watu wangekufwa kabisa.
 
Pengine Mama ndio alishauri mwanae asiende...namimi naona kama ana hoja ya msingi maana ingetokea tafrani wengi hapa mngekuja kusema alikuwa ana tafuta kiki msibani.....
Mimi nimwelewa sana Mama Diamond, kwa sababu nilikuwepo pale Leaders siku ya kuaga mwili wa Masogange! Ilikuwa ni mshike mshike! Tena pale Leaders ni pakubwa, vp huko kwa akina Zilla?! Tena tafrani ya pale Leaders ilianzia kwa waandishi wa habari! Ile anatajwa Diamond tu kwamba imefika zamu yake ya kutoa salamu, kila kitu kikavurugika kwa muda!

Anyway, inawezekana Mama Diamond hakuwasilisha vema hoja yake lakini ukweli ni kwamba kila anapotokea Diamond lazima pawe na kizaa zaa.
 
Wewe unafikiri hao wasanii waliopo sokoni tangu muda na sasa wanachukuliwa kawaida tu ni kwamba wanatoa ngoma mbovu?
Ungekuwepo siku ya msiba wa Masogange pale Leaders, wala usingesema hayo. Inawezekana Bi Mkubwa alishindwa kuwasilisha hoja yake lakini alichosema ndo uhalisia wenyewe! Yuledogo ana nyota ya ajabu! Akitokea mahali shughuli lazima zisimame.
 
Kuna hoja gani ww wakati kanumba anafariki 2011 huyo domo alikuwa na nguvu gani mpaka watu wazimie
Umeanza lini kumfuatilia Diamond?! Hebu msikilize B Dozen hapa:-

Na hapa chini ni wakati Diamond anawasili kwenye msiba wa Kanumba:-
 
Dai kwisha habari yake eti watu wazimie aiseee msiba wa masogange walijaa mastaa tele na watu hawakuzimia sembuse huu

Angesema tu mwanae yupo busy kufundishwa kucheza kamari.

Swali fikirishi Tetema hadi now ina views ngapi?

Tetema ina viewa zaidi million 4... hii ina thibitisha kuwa Diamond ni kiboko kabisa hapa Tanzania... hivyo hakuna wa kumuangusha,,,,,
 
Umeanza lini kumfuatilia Diamond?! Hebu msikilize B Dozen hapa:-

Na hapa chini ni wakati Diamond anawasili kwenye msiba wa Kanumba:-
Asante sana mkuu
 
Mkuu ukianzisha uzi kaa kando wadau tutoe maoni yetu sio lazima kumjibu kila mdau. Anyway kijana kafulia bila kolabo ni hoi choka mbaya kama wigi la tarzan
Tetema ina viewa zaidi million 4... hii ina thibitisha kuwa Diamond ni kiboko kabisa hapa Tanzania... hivyo hakuna wa kumuangusha,,,,,
 
Dai kwisha habari yake eti watu wazimie aiseee msiba wa masogange walijaa mastaa tele na watu hawakuzimia sembuse huu

Angesema tu mwanae yupo busy kufundishwa kucheza kamari.

Swali fikirishi Tetema hadi now ina views ngapi?

Hawazimii akiwa anaimba.. watazimia kumuona sura akilia labda.. eeeh wangekaa kimya

Bora jana asingetoka..

Tetema imesaidiwa na Rayvanny kuwepo ila kaubeba mwimbo kama wake..
 
Ungekuwepo siku ya msiba wa Masogange pale Leaders, wala usingesema hayo. Inawezekana Bi Mkubwa alishindwa kuwasilisha hoja yake lakini alichosema ndo uhalisia wenyewe! Yuledogo ana nyota ya ajabu! Akitokea mahali shughuli lazima zisimame.
Bi mkubwa ameongea sema watanzania hawapendi kuhusikia...
 
Watu wengi huwa hawaamini kuwa Diamond au mama yake yuko sawa kwakuwa hawapendi kusikia ukweli
 
Huyu mama anavuta bangi?
Kweli ukubwa mwingine ni ujinga

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…