Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

Mama Diamond: Diamond hakuja kwenye msiba wa Godzilla kwa sababu angesababisha vurugu na watu wange zimia.

mtoa posti ndio una matatizo, umeongezea chumvi sana kuonesha kuwa kauli yake ni mbaya kuliko ukweli, tangu mwanzo wa posti hadi mwisho, kwanza bora hajaenda maana ungekuwa sio msiba tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa post hajaongezea chumvi yoyote tena amepunguza ukali wa maneno, mama kasema kwenye msiba wa Kanumba watu wengi walitaka kufariki kwa ajili ya mwanae mpaka ikabidi atolewe kupitia mlango wa nyuma kwa hiyo anaogopa asije akasababisha vifo vingine kwa watu kukanyagana kutaka kumuona mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwepo siku ya msiba wa Masogange pale Leaders, wala usingesema hayo. Inawezekana Bi Mkubwa alishindwa kuwasilisha hoja yake lakini alichosema ndo uhalisia wenyewe! Yuledogo ana nyota ya ajabu! Akitokea mahali shughuli lazima zisimame.
Ikitokea mmoja wa familia amefariki hatazika pia kwa kuogopa watu wasije wakazimia kutaka kumuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikitokea mmoja wa familia amefariki hatazika pia kwa kuogopa watu wasije wakazimia kutaka kumuona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwenye misiba mingine huwa haendi?! NImesema wazi kwamba inawezekana Bi Sandra alishindwa jinsi ya kuwasilisha hoja yake lakini alichosema vile vile ni kweli lakini hoja yangu ikijikita kwenye vurugu na sio kuzimia!!
 
Mbona msiba wa masogange hawakuleta Vurugu???? Diamond hana cha ajabu mpaka ashindwe kwenda kwenye msiba alafu usiku aende Casino kucheza kamarii... Ni kukosaa weledi na kulewa sifa na pesaa...!! Amekuwa mtu wa ovyo sanaa siku hizi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona msiba wa masogange hawakuleta Vurugu???? Diamond hana cha ajabu mpaka ashindwe kwenda kwenye msiba alafu usiku aende Casino kucheza kamarii... Ni kukosaa weledi na kulewa sifa na pesaa...!! Amekuwa mtu wa ovyo sanaa siku hizi....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama ulikuwa unatafuta pa kutolea dukuduku lako na kujikuta unatoa kwenye wrong place?! Manake nashindwa kabisa kuona uhusiano wa suala la yeye kutokwenda kwenye msiba kwa upande mmoja na suala la pesa na kwenda casino kwa upande mwingine!! Kumbe kama unafahamu alienda kwenye msiba wa Masogange, how come tena unahusisha suala la kutokwenda kwenye msiba wa Zilla na suala la sifa na pesa?! Au unataka kuniambia hizo sifa na pesa kaanza au kapata sasa?!

Na kama unaamini hana cha ajabu, tazama balaa ambalo alilisababisha Kariakoo!

Hili limama nalo ni jinga kweli. Wanaume huwa tunaachana na wanawake kwa sababu na kwa hali hii naona Baba yake Diamond alistahili kutengana na huyu mropokaji.
 
Ila kweli, watz tunapenda sana kushangaa... Harmo tu watu wamekanyagana[emoji3][emoji3][emoji3]

"heart broken"
 
Mbona msiba wa masogange hawakuleta Vurugu???? Diamond hana cha ajabu mpaka ashindwe kwenda kwenye msiba alafu usiku aende Casino kucheza kamarii... Ni kukosaa weledi na kulewa sifa na pesaa...!! Amekuwa mtu wa ovyo sanaa siku hizi....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wa mke wa mwakyembe alienda na wala hapakutokea chochote
 
Mama Diamond sasa amekuwa msemaji wa mwanae!!!! Diamond ajue yeye ni brand maneno kama haya yanasemwa na mzazi yanampunguzia sana mashabiki na yanaaminika moja kwa moja kwa vile yametoka kwa Mama Diamond ivo awe makini na pia atoe katazo kwa wana ndugu kutoa taarifa zozote ni hatari sana

Pili mama Diamond sijui Amewahi kumshuhudia mtu anaitwa Mr Nice;?? Akajifunze kitu kutoka kwa mama mr nice
Waswahili wa Tandale na Chanika hawajui maana ya brand.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply..."huku akijibu kwa ufasaha ".ama kweli utamu wa pipi ni mate ya mtu mwenyewe!
ina maana huko kwenye msiba madume eti yazimie kisa kumuona dume mwenzao??
 
Back
Top Bottom