cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Aiseeee nakumbuka kwa kanumba kweli jamaa alivuruga kweli pale leaders mpaka wakamuondoa mama mtu anaweza kuwa sahihi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa post hajaongezea chumvi yoyote tena amepunguza ukali wa maneno, mama kasema kwenye msiba wa Kanumba watu wengi walitaka kufariki kwa ajili ya mwanae mpaka ikabidi atolewe kupitia mlango wa nyuma kwa hiyo anaogopa asije akasababisha vifo vingine kwa watu kukanyagana kutaka kumuona mwanaemtoa posti ndio una matatizo, umeongezea chumvi sana kuonesha kuwa kauli yake ni mbaya kuliko ukweli, tangu mwanzo wa posti hadi mwisho, kwanza bora hajaenda maana ungekuwa sio msiba tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea mmoja wa familia amefariki hatazika pia kwa kuogopa watu wasije wakazimia kutaka kumuonaUngekuwepo siku ya msiba wa Masogange pale Leaders, wala usingesema hayo. Inawezekana Bi Mkubwa alishindwa kuwasilisha hoja yake lakini alichosema ndo uhalisia wenyewe! Yuledogo ana nyota ya ajabu! Akitokea mahali shughuli lazima zisimame.
Kwani kwenye misiba mingine huwa haendi?! NImesema wazi kwamba inawezekana Bi Sandra alishindwa jinsi ya kuwasilisha hoja yake lakini alichosema vile vile ni kweli lakini hoja yangu ikijikita kwenye vurugu na sio kuzimia!!Ikitokea mmoja wa familia amefariki hatazika pia kwa kuogopa watu wasije wakazimia kutaka kumuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona msiba wa masogange hawakuleta Vurugu???? Diamond hana cha ajabu mpaka ashindwe kwenda kwenye msiba alafu usiku aende Casino kucheza kamarii... Ni kukosaa weledi na kulewa sifa na pesaa...!! Amekuwa mtu wa ovyo sanaa siku hizi....Kwani kwenye misiba mingine huwa haendi?! NImesema wazi kwamba inawezekana Bi Sandra alishindwa jinsi ya kuwasilisha hoja yake lakini alichosema vile vile ni kweli lakini hoja yangu ikijikita kwenye vurugu na sio kuzimia!!
Mbona kama ulikuwa unatafuta pa kutolea dukuduku lako na kujikuta unatoa kwenye wrong place?! Manake nashindwa kabisa kuona uhusiano wa suala la yeye kutokwenda kwenye msiba kwa upande mmoja na suala la pesa na kwenda casino kwa upande mwingine!! Kumbe kama unafahamu alienda kwenye msiba wa Masogange, how come tena unahusisha suala la kutokwenda kwenye msiba wa Zilla na suala la sifa na pesa?! Au unataka kuniambia hizo sifa na pesa kaanza au kapata sasa?!Mbona msiba wa masogange hawakuleta Vurugu???? Diamond hana cha ajabu mpaka ashindwe kwenda kwenye msiba alafu usiku aende Casino kucheza kamarii... Ni kukosaa weledi na kulewa sifa na pesaa...!! Amekuwa mtu wa ovyo sanaa siku hizi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wa mke wa mwakyembe alienda na wala hapakutokea chochoteMbona msiba wa masogange hawakuleta Vurugu???? Diamond hana cha ajabu mpaka ashindwe kwenda kwenye msiba alafu usiku aende Casino kucheza kamarii... Ni kukosaa weledi na kulewa sifa na pesaa...!! Amekuwa mtu wa ovyo sanaa siku hizi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani kuna maajabu!Ikitokea mmoja wa familia amefariki hatazika pia kwa kuogopa watu wasije wakazimia kutaka kumuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Waswahili wa Tandale na Chanika hawajui maana ya brand.Mama Diamond sasa amekuwa msemaji wa mwanae!!!! Diamond ajue yeye ni brand maneno kama haya yanasemwa na mzazi yanampunguzia sana mashabiki na yanaaminika moja kwa moja kwa vile yametoka kwa Mama Diamond ivo awe makini na pia atoe katazo kwa wana ndugu kutoa taarifa zozote ni hatari sana
Pili mama Diamond sijui Amewahi kumshuhudia mtu anaitwa Mr Nice;?? Akajifunze kitu kutoka kwa mama mr nice
Wenzako kule uswahilino brand ...inaitwa burandi yaani Gongo
How anakua kioo cha jamii?Kwenye msiba anachukulia masahara halijamkuta. Yeye kama kioo cha jamii ilibidi aende kuonekana
.
Sent using Jamii Forums mobile app
tafran itokee kivipi??Pengine Mama ndio alishauri mwanae asiende...namimi naona kama ana hoja ya msingi maana ingetokea tafrani wengi hapa mngekuja kusema alikuwa ana tafuta kiki msibani.....
Aaah! Aaaah! Itakuwa kweli kaka. Basi hata media pia hazikuwaona? Huyu Bi. Sandra atuache tupumue!PENGINE HUKUWAONA WAKIZIMIA