Waliokuwa wanarusha chupi hawakuwa na akiri hao wanawakeUko sahihi Mama ni vyema asijiingize kwenye mambo ya mwanae maana huyu sio ordinary son ,he is a super star ,anahitajika mjuzi hasa ,Japo maana ya mama ina mantiki ,tujikumbushe msiba wa kanumba ,watu waliacha msiba wakaenda kusukuma gari la diamond ,sasa leo hii jina lake liko mara tatu ya kipindi kile,na nikweli kwenye show zake watu wanazimia hata nairobi walizimia kibao na walikuwa wanatoa chupi wanarusha steji mbele ya boyfriend zao.
unaweza thibitisha mkuu tufaidike soteMama anaetembea na marafiki zako ni laana tosha
Wasalaam wana jamvi.
Mama wa msanii maarufu na tajiri kuliko wote nchi Diamond Platimuz ameweka wazi sababu za mwanae kutoonekana kwenye msiba na mazishi ya msanii mwenzie Godzilla.
Mama Diamond akihojiwa na moja ya chombo cha habari nchini aliulizwa kwanini Diamond hajaonekana kwenye msiba wa msanii mwenzie au hata kwenda kutoa pole?
Mama Diamond akijibu swali hilo kwa ufasaha amesema kuwa sababu ya mwanae kutokuja ni kutokana na mwanae kuwa msanii mkubwa sana nchini na hivyo kama angelifika pale angelisababisha tafrani na watu wote wangeacha kuhani msiba wangebaki kumuangalia yeye tuu
Pia aliongezea kuwa kama mwanae angelifika pale basi kungelitokea baadhi ya watu kuzimia .
Mama Diamond aliongezea kwa kusema hata kwenye msiba wa Kanumba mwanae alipotokea alisababisha vurugu na watu wengine kuzimia kwakuwa kila mtu alitaka kumuangalia Diamond.
Hata hivyo Mama Diamond alisema kuwa yeye kuja kwake ni kama amemuwakilisha mwanae.
Wasalaam
FOOLISH!!!!Wasalaam wana jamvi.

Ngoja tusubirie orodhakama angelikwenda kwa Ruge pengine watu wange jiua kabisa
Mbona kaendakama angelikwenda kwa Ruge pengine watu wange jiua kabisa
Vipi kwa habari ya taharuki?
Dai kwisha habari yake eti watu wazimie aiseee msiba wa masogange walijaa mastaa tele na watu hawakuzimia sembuse huu
Angesema tu mwanae yupo busy kufundishwa kucheza kamari.
Swali fikirishi Tetema hadi now ina views ngapi?
Acha uongo msiba wa kanumba watu walizimia kisa wingi wa watu ambao ulikuwapo tokea hata diamond hajaja na.pale watu walienda kumuaga kanumba si kumuona Diamond, kipindi hicho diamond bado sana hajawa famous kiasi hiki, na hiyo april 2012 watu walikuwa wanamkubali sana Kanumba