Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Siwezi shangaa Bashite na yule Le Mpumbuuuzzz wakiingia kwenye huu ujinga..
Hii ni sababu na wao ni wajinga.
 
DAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?

Kwani alieanza kuchamba wenzie ni nani
 
Kama kweli basi washauri wao wote vilaza watachezea KO mahakamani iwe aibu,mshtueni bi mkubwa kua hawa watoto watakuja kuongeza picha bure ikawa noma maana inawezekana wakati wako faragha alikua anaona tu laptop inapiga muziki kumbe matukio yanaendelea kurekodiwa.
 
Bahati mbaya kwichi-kwichi huwa zinafanyikia gizani na sijui watathibitishaje beyond doubt kwamba dogo hajamega kwa yule maza. Ni kujiabisha tu.
 
Back
Top Bottom