Iko hivii, kwanza alotoa huo ubuyu kwa mange ni mama mobeto peke yake, na ametoa kwa sabb kuu mbili . Ya kwanza . Mama diamond na esma walikua mstari wa mbele kumkuadia hamisa kwa diamond nia na lengo lao ni kumuuliza zari, na wakamuahidi hamisa kwamba watafanya juu chini zari aachike akae hamissa ( kama mnakumbuka kuna kipindi zari na mkwe wake na wifi yake walikua hawana maelewano mazuri kabisaa) ndio kipindi ambacho hawa wawili walikua wanafanya yao. Shida ilikuja baada ya hamisa kujifungua na wawili hao kua shinikizo kubwa la ndugu yao kukataa mimba. Na wamekataa baada ya kugundua hamisa na mama yake walikua mstari wa mbele kushirikiana kumchuna patric na mond ndio maana wakaamua kuikataa mimba. Sasa mama mobeto akaona mwane kaoneowa yaan wamemchezea afu wamemuacha hapo mwanae bila chochote. Ndio wakaanza sasa kuchafua hali ya hewa kwa kupost mtt, mara wabadili majina na mambo mengine kibaoo. . Sababu ya pili . Mama mobeto na mama dai waligombana tena na sabb kubwa ilikua huyo bwana wanedai kamuoa bi sadra, huyo bwana hajamuoa ila wapo pamoja. Ila mama mobeto kamwaga sabb kaona katolewa nje afu bi sandra anakula maisha. Hili bifu lipo kwenye hizi familia mbili, na haya mambo wameyaunda wenyewe saivi yanawageuka, tena yanawageuka vibaya sabb walikua wanamfanyia ubaya mtu ambaye anawafanyia mema