Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Daimond kinachomsumbua niukosefu WA elimu ya utambuzi ujinga wake unaicost familia yake sema ndovile yeye ndomtafuta ugali hakuna wakumkemea nyumbani
 
kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,

kwa kile kinachodaiwa ni post yake ya jana iliyochafua hali ya hewa huko instagram

chanzo pia kinadokeza zoezi hilo linaratibiwa kwa karibu sana na DAB
ambaye ameoneka kuchukizwa sana na post ile

mnaonaje safari hii kijana wetu kipenzi atasalimika kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Una hakika na unalosema mkuu au umeamua na wewe kuandika thread !!! Unataka mama wa watu aongee ili upate nini kijana...ushabiki mungne hata sio mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo si busara na adabu kutukaniana mama,ila inauma sana kwa mwanaume rijali kuitwa shoga.mnaomtetea dai,jivikeni kwanza viatu vya Omi kuitwa shoga.Diamond ni mchokozi sana,lakini hawezi ugomvi.Level alizofika diamond sio za kuwachokoza wasanii wenzake ni kuwasaidia nao watoboe kimataifa.Kalianzisha mwenyewe asitafute huruma ajifunze.Vijana tuheshimiane,
 
Bado nasubiri Post ya Dimond kukanusha Kuwa Ommy ajamkula bi.Mkubwa wake ahaaa ahaaa.

Anaetoka na taulo chumbani Kwa mama ako ndio baba ako huyo.
 
Na wale timu domo washtakiwe kwa kumtusi Ommy matusi ya nguoni! hivi sheria za mtandao hazipo instagram eh?
 
Back
Top Bottom