Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

kwa habari zilizotufikia za chini ya kapeti inasemekana tayari pale madale wameshatafuta ushauri wa kisheria ni jinsi gani watamtia hatiani kijana pozi kwa pozi,

kwa kile kinachodaiwa ni post yake ya jana iliyochafua hali ya hewa huko instagram

chanzo pia kinadokeza zoezi hilo linaratibiwa kwa karibu sana na DAB
ambaye ameoneka kuchukizwa sana na post ile

mnaonaje safari hii kijana wetu kipenzi atasalimika kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga na huyo mshauri wa sheria ni mjinga.ommy anaweza kufuta post mda wowote na kupoteza ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hujui mchezo wa sheria fuatilie kama kuna kesi yeyote na mtandaoni imefaikiwa kumfunga MTU.screen short ni ushaidi dhaifu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi dhaifu sana eeh, sasa ngoja nikushikishe gomba au fuko la bangi nikupige picha nalo ukiwa mazingira ya kwako af nikushikishe kwa PT uone kama hawajakutoa damu.
Kuna ushahidi wenye nguvu zaidi ya picha.?
 
hamna buraza nmewaza kisheria ....unadhan wanaoshitakiwa huwa wanatembea na ushahidi kichwani...ndo maana kuna mashuhuda wa tukio na screenshot
Soma vizuri post ya ommy kisheria hakuna tusi.kusema Yeye baba yake ni tusi na picha haina shida.kimaadili ommy kakosea ila kisheria hakuna sehemu ametukana labda kusema Mimi ni baba yako ni tusi jipya Daresalaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi dhaifu sana eeh, sasa ngoja nikushikishe gomba au fuko la bangi nikupige picha nalo ukiwa mazingira ya kwako af nikushikishe kwa PT uone kama hawajakutoa damu.
Kuna ushahidi wenye nguvu zaidi ya picha.?
Kimaadili ommy amekosea kumuhusisha mama mondi na ugomvi.ila kisheria je kwenye post ile kuna tusi lolote kisheria.je Kusema Mimi ni baba yako ni tusi.mahakamani ommy anaweza kujibu nilisema Mimi.ni baba yako nikimanisha baba yako kimziki.ni lugha ya picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DAB anahusika vipi katika mambo hayo.Tupe ushahidi na utuambie anahusika vipi.Maana nishachoka na habari za umbea wa vijana wa kitanzania.
Afu kwa nini kila jamaa akitaka kutoa wimbo wanatafuta kiki kupitia chibu?
We nae upo mji gani?!

Alieanzisha Maneno ni nani kati ya Dimond na kina Ali?!

Mmekoroga mambo yamewashinda mnatapatapa sasa....Vumilieni tu Mama Enu ndio kishaliwa
 
Back
Top Bottom