Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

Kwani hyo mama alishawahi kuwa mwanamke mwenye heshima
Angekuwa anajiheshimu asingezungumza masuala hayo kwenye media
Hata mtoto wake huyo esma wote mule mule
Maisha waliyokulia uswz shida dhiki imewaaribu

Ova
 
Nenda kwa dada wa taifa, ndiyo utapata picha kamili kuhusu sakata hili. Haya mambo dada wa taifa alipewaga ubuyu kitambo sana miaka kadhaa nyuma. Lakini hata majirani wa familia hiyo wanajua hilo kitambo tu. Hakuna kiki ila Esma na wivu wake ndiyo kaharibu hali ya hewa. Hili picha lilitakiwa kuja kufumuliwa kwenye reality show ya familia yao kupitia wasafi ili watengeneze pesa. Huyo mzee siyo wa kumwamini mjanja mjanja sana. Ngoja mama Dangote naye apate airtime Kama mzee afunguke kwa marefu na mapana
 
Baba wa familia hawezi ishi kwenye nyumba ya wakwe, akalalia kitanda cha wakwe, akaoga sabuni moja na wakwe.... na bado akapata nguvu za kupasua mpira. Acheni kutetea uzembe buana
Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
 
Unamjua mama yake qeen aliendaga holland
Alikuwa swahiba sana f.shisha
Uzembe huoo unatokana aina ya wazazi kuwa umjinimjini
Mm pia nimekaa mtaa wa pemba hapo na wakat huo kitu chochote kizuri ilikuwa lazima kipatikana hapo tu kuanzia nguo,viatu,redio etc ndomana wanaume hapo walikuwa wanawangoa wadada ......ndomana mzee abdul kwa sababu ya kupiga pamba na kujua maujanja aliwngoaa
Mambo ya malezi etc wao tu hawakuwa responsible

Ova
 
Mzee abdul kwao mwanzoni ilikuwa pemba street
Nyumba ikauzwaga kifamilia..
Mambo ya mgawo ukaja....
Aliwa support kimtindo huyo mama hawez kukubali kwani nyie wanawake mnakubaligi
Mnachofanyiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zaidi ya kumtia mtoto sumu

Ova
 
Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
Huyu shamte huyu huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mluguru ni shidaaa maana ni super mariooo

Ova
 
Hahaha gelofriend alimhifadhi na kumpa huduma zote za kibinadamu.... mambo mengine wacha Sandra mwenyewe aje aseme na ushahidi wa sapota alizompa
Huyo sandra wako huoni yuko kimya
Ataongea nn mchrk wa zamani

Ova
 
Lakini Sandra kiboko, wanaume watatu kila mmoja ametimiza jukumu lake, Nyange aliweka mbegu, Abdul akatunza mimba na sasa Shamte anakula matunda.
Sandra anaenda kwa kilicho Bora kwa wakati uliopo, mambo ya kesho hayanaga uhakika
 
Hivi wewe mrangi unajua nyumba za familia za kariakoo!?

Unadhani kuwa na nyumba pemba street ndio kuwa na pesa? Watu wana nyumba kariakoo wanakuls mlo mmoja kwa siku tena Ugali wa kugongea

Labda muuze mgao ndio utakupa sapota na wakati Abdul wanauza nyumba yao pemba walishatengana na Sandra.
 
Watu mmekaa kabsa mna discuss na wengine kuanza kujifanya na huruma mnaona

Hiv mnadhan yule ricardo momo angeenda tu kujiongelea bila ya mondi kuwa na taarifa zote na kinachoendelea

Au mama dangote angeanza tu kuongea bila kumshirikisha mwanae kuhusu hilo swala

Wabongo mfike mahali na nyinyi muwe mnatumia vichwa vyenu sio mnapelekwa pelekwa kma mpira wa kona
 
Kwani!?
 
Uwezo wa watanzania kupambanua mambo ni mdgo kma sio mdgo sana

Kesho mond anaweza kuamka akamwita mzee wasaf pale akamuomba msamaha yakaisha watanzania hawa hawa wakafurah tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…