Anatafuta nini?Number zake za simu pls! Kuna kitu anakitafuta wengine naamini ni vingumu kukijua
Na wewe hapa umeandika sasa!Je huyo mama yake diamond anakufaham au kashawahi hata kukusikia? Manake ni uchizi kumchukia mtu asiyekujua au hata kukusikia.
Wivu hahaaaa .HIVI ZARI ALIEACHA MUME NA WATOTO NA KUJA KUZINI TZ NANI WA AJABU.MUACHE MAMA WA WATU WIVU WAKO TU UTAKUUA
Sio mama tu ni familia nzima waswahiliMkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima
Kweli kuna watu akili zao sijui wameazimisha.....ZARINA kaingiaje....HIVI ZARI ALIEACHA MUME NA WATOTO NA KUJA KUZINI TZ NANI WA AJABU.MUACHE MAMA WA WATU WIVU WAKO TU UTAKUUA
huwez mkana mzazi wako hata awe vp kwani huwez pata mwingine mmkuuMkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima
Mkuu sijamtaja huyo Zarinah.Kweli kuna watu akili zao sijui wameazimisha.....ZARINA kaingiaje....
Mbona sio wewe....ni hapo kwa Miss NatafutaMkuu sijamtaja huyo Zarinah.
Miss Natafuta ni shabiki wa huyu mamaMbona sio wewe....ni hapo kwa Miss Natafuta
Na ni kwasababu hampendi Zarii.....si amekaba hadi penatiMiss Natafuta ni shabiki wa huyu mama
Kendra- MichaelAnatumia jina gani IG
Ndio Lakini Ni aibu kubwa sana yule mamaNa ni kwasababu hampendi Zarii.....si amekaba hadi penati
Diamond ajifunze sasa Kutokana na aibu ya mama yakeNdiyo maana aliachika
Zari hajaacha mume na kuja kuzini Tz kakutana na diamond akiwa single. Yeye na Ivan walishatalakiana muda mrefu sana wamebaki kulea watoto tuuHIVI ZARI ALIEACHA MUME NA WATOTO NA KUJA KUZINI TZ NANI WA AJABU.MUACHE MAMA WA WATU WIVU WAKO TU UTAKUUA