Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Wapo wanaopenda huo uswahili wa hiyo familia,,,, uswaaaziiiiiiii
 
1475162953715.png
jaman huyu mama anatia aibu,ebu on a alivyodhalilika Leo ,shame on her....nicheke kizungu mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio kutia aibu tu hajiamini na hajielewi eti hasikilizwi
 
Back
Top Bottom