Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Mkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima

Tabula rasa is a Latin phrase often translated as "blank slate" in English and originates from the Roman tabula used for notes, which was blanked by heating the wax and then smoothing it.-

inamaana kichwani hakuna kitu sio?
 
Kila mtu aishi maisha yake,tusiwe wepesi sana kuhukumu kupitia hii mitandao....hakuna aliyekamilika,leave them with their drama coz hazituathiri chochote ktk maisha yetu!!



Nawashangaa watu wanatokwa poooooovu kisa maisha ya diamond,b4 hujapovuka jiulize yanakuhusu?! Au yanakuathiri kivipi?! Watz bwana,Mungu atusaidie kuukomboa wakati,ishi kama leo ndo siku ya mwisho ya uhai wako,hope u wouldn't spend it dis way(kutukana watu ovyo) mara elf ulalamike khsu viongozi wako sio maisha ya mtz mwenzako ambaye unamuona tu kwenye media wala hata hakujui na huna faida kwakwe hata ukifa leo ye maisha yatasonga tu (muache ushabiki uchwara)
 
****** halafu eti management yake iko kimya juu ya haya na haya yatamshusha diamond na hawatoweza kuhandle Tena situation
Situation ishakua mbaya hayo matusi anayopata huko insta ni hatari...
 
Ni kweli amepoteza na anazidi kupoteza haswa wanaojielewa wa class fulani fulani pia...nimeyaona.
 
kunywa soda kwa Mangi bill kwangu
 
Mama anabaki kuwa mama hata awe vipi. Hata maisha ya diamond sisi mashabiki haturuhusiwi kumpangia. Labda kwenye kazi zake za sanaa
Nanukuu ..... "Hata maisha ya diamond sisi mashabiki haturuhusiwi kumpangia ...." mwisho wa kunukuu ......

Naseeb ni miongon mwa wasanii ambao ni KIOO CHA JAMII ..... maisha yake yana-affect ama POSITIVELY au NEGATIVELY kwa kiasi kikubwa sana jamii inayomzunguka na pia inayofuatilia kazi zake .....

So he should be not only CAREFUL, KEEN, WISE but also SELECTIVE for whatever he does or says ..... by so doing his fans especially youth will be POSITIVELY affected ....
 
Je huyo mama yake diamond anakufaham au kashawahi hata kukusikia? Manake ni uchizi kumchukia mtu asiyekujua au hata kukusikia.
Ningetamani sana wazo na mtazamo wako huo uwafikie wooooooote wamchukiao Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. JPJM ....
 
Nafikiri hujatumia busara coz kwa DIAMOND tunachoshabikia sio FAMILY yake Bali MZIKI wake so achana na family matters just follow tu mziki wakee......

Nawasilishaaa
 
Nyambaaaffff kabisa.....inamaana vijana wote tz wanataka wawe wasanii,wakicopy kila kitu ni kwa hasara yao wenyewe,diamond mwenyewe kuna mambo mengi anakosea ni vile msanii tu mnajifanya hamuoni,dini gani inaruhusu anasa anazozifanya?! Endeeleni kucopy na kupaste.....Hukumu yaja
 
Nafikiri hujatumia busara coz kwa DIAMOND tunachoshabikia sio FAMILY yake Bali MZIKI wake so achana na family matters just follow tu mziki wakee......

Nawasilishaaa
Mgombea urais wa USA Bw. TRUMP alipata ATHARI ktk presidential race inayoendelea kwa kwa kupoteza kiasi flani cha fans wake kisa kikiwa KASHFA ya USAGAJI iloibuliwa juu ya mkewe tena ilotokea kitambo tu ....

Tafakari hiyo [emoji115] aya then rejea comment yako .... already unalo jibu ..... KONDA SHUSHA HAPO UBUNGO MAZIWA [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mama hana busara wala nia njema na mwanae
Hzo chart zimetungwa tu ili ioekane hampendi zari mbona hayo matatizo yapo tu mitaani ya kutofautiana. Timu zari ndo wanakuza hayo mambo dai azipige marufuku kumtukana mamake hao mashabiki washabikie mziki nasio mambo yao biafsi, hafu watanzania kisa zari ndo mganda wamutetea no one is perfect hyo timu ushuzi ya kutukana mzazi ni team hovyo ndo mana Wema alivunja timu tu. Timu zinataka kukupangia life mbaya zaidi zinakuzalilishia mzazi.
 
Uko sahihi mkuu mama yule Ni kijipu uchungu cha matakoni
Hivi mamako angekuwa anaambiwa hayo maneno ungefurahi kweli, utafikiri we we ni malaika kisa ushabiki, kwanza hamkumsaidia kwenda labour, ndugu wa damu kutofautiana sembuse huyo. Sipendi watu wanaoshabikia uzalilishaji wawazazi. Na wanawake wengi wakiolewa sehemu ndo huvuruga wenyewe na kusingizia mawifi na mama mkwe. Tena Huyo mama katoa yake ya moyoni zari inaonyesha ni silence killer. Kwanza MTU kazaa watoto watatu kamkimbia mumewe huoni naye ana matatizo yake wwkikaa na mama dai bibie mashavu yake yameanza kuchuma kunde, hamna mama aliyezaa anayemtakiaga mwanawe mabalaa wala wivu. Ugomvi huu hata zari ana tatizo na Huyo mama kwa kiasi chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…