Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima
Situation ishakua mbaya hayo matusi anayopata huko insta ni hatari...****** halafu eti management yake iko kimya juu ya haya na haya yatamshusha diamond na hawatoweza kuhandle Tena situation
Hahaha empty mind.Mkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima
Unakuta kiko tako la kushoto cha ajabu na la kulia linauma
kunywa soda kwa Mangi bill kwanguKila mtu aishi maisha yake,tusiwe wepesi sana kuhukumu kupitia hii mitandao....hakuna aliyekamilika,leave them with their drama coz hazituathiri chochote ktk maisha yetu!!
Nawashangaa watu wanatokwa poooooovu kisa maisha ya diamond,b4 hujapovuka jiulize yanakuhusu?! Au yanakuathiri kivipi?! Watz bwana,Mungu atusaidie kuukomboa wakati,ishi kama leo ndo siku ya mwisho ya uhai wako,hope u wouldn't spend it dis way(kutukana watu ovyo) mara elf ulalamike khsu viongozi wako sio maisha ya mtz mwenzako ambaye unamuona tu kwenye media wala hata hakujui na huna faida kwakwe hata ukifa leo ye maisha yatasonga tu (muache ushabiki uchwara)
Navokuheshimu wewe hata sikujibuUwe unaangalia na elimu na mazingira ya makuzi ya mtu;
hivi mama yako anajuwa hata jamiiforum?
Kabisa , imekua too muchSituation ishakua mbaya hayo matusi anayopata huko insta ni hatari...
Mkuu vipi kiliwahi kukupata au?hahahahhaha acha kabisaa
Nanukuu ..... "Hata maisha ya diamond sisi mashabiki haturuhusiwi kumpangia ...." mwisho wa kunukuu ......Mama anabaki kuwa mama hata awe vipi. Hata maisha ya diamond sisi mashabiki haturuhusiwi kumpangia. Labda kwenye kazi zake za sanaa
Ningetamani sana wazo na mtazamo wako huo uwafikie wooooooote wamchukiao Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. JPJM ....Je huyo mama yake diamond anakufaham au kashawahi hata kukusikia? Manake ni uchizi kumchukia mtu asiyekujua au hata kukusikia.
Diamond akaunti yake insta nadhani ni diamindplatnamz-officialView attachment 409447angalia kwa makini hapo utaona like ya diamond.
Nafikiri hujatumia busara coz kwa DIAMOND tunachoshabikia sio FAMILY yake Bali MZIKI wake so achana na family matters just follow tu mziki wakee......Wakuu Salaam Sana
Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia yake hawajiheshimu nimeacha kumshabikia Mond na nimeshachoma kazi zake zote za kwake nilizonunua , mliobaki kama mashabiki zake mwelezeni aige mfano hata kwa wasanii wengine wakubwa ambao mama zao hawatukani hovyo kwenye mitandao ya kijamii.
Nyambaaaffff kabisa.....inamaana vijana wote tz wanataka wawe wasanii,wakicopy kila kitu ni kwa hasara yao wenyewe,diamond mwenyewe kuna mambo mengi anakosea ni vile msanii tu mnajifanya hamuoni,dini gani inaruhusu anasa anazozifanya?! Endeeleni kucopy na kupaste.....Hukumu yajaNanukuu ..... "Hata maisha ya diamond sisi mashabiki haturuhusiwi kumpangia ...." mwisho wa kunukuu ......
Naseeb ni miongon mwa wasanii ambao ni KIOO CHA JAMII ..... maisha yake yana-affect ama POSITIVELY au NEGATIVELY kwa kiasi kikubwa sana jamii inayomzunguka na pia inayofuatilia kazi zake .....
So he should be not only CAREFUL, KEEN, WISE but also SELECTIVE for whatever he does or says ..... by so doing his fans especially youth will be POSITIVELY affected ....
Mgombea urais wa USA Bw. TRUMP alipata ATHARI ktk presidential race inayoendelea kwa kwa kupoteza kiasi flani cha fans wake kisa kikiwa KASHFA ya USAGAJI iloibuliwa juu ya mkewe tena ilotokea kitambo tu ....Nafikiri hujatumia busara coz kwa DIAMOND tunachoshabikia sio FAMILY yake Bali MZIKI wake so achana na family matters just follow tu mziki wakee......
Nawasilishaaa
Hzo chart zimetungwa tu ili ioekane hampendi zari mbona hayo matatizo yapo tu mitaani ya kutofautiana. Timu zari ndo wanakuza hayo mambo dai azipige marufuku kumtukana mamake hao mashabiki washabikie mziki nasio mambo yao biafsi, hafu watanzania kisa zari ndo mganda wamutetea no one is perfect hyo timu ushuzi ya kutukana mzazi ni team hovyo ndo mana Wema alivunja timu tu. Timu zinataka kukupangia life mbaya zaidi zinakuzalilishia mzazi.Mama hana busara wala nia njema na mwanae
Hivi mamako angekuwa anaambiwa hayo maneno ungefurahi kweli, utafikiri we we ni malaika kisa ushabiki, kwanza hamkumsaidia kwenda labour, ndugu wa damu kutofautiana sembuse huyo. Sipendi watu wanaoshabikia uzalilishaji wawazazi. Na wanawake wengi wakiolewa sehemu ndo huvuruga wenyewe na kusingizia mawifi na mama mkwe. Tena Huyo mama katoa yake ya moyoni zari inaonyesha ni silence killer. Kwanza MTU kazaa watoto watatu kamkimbia mumewe huoni naye ana matatizo yake wwkikaa na mama dai bibie mashavu yake yameanza kuchuma kunde, hamna mama aliyezaa anayemtakiaga mwanawe mabalaa wala wivu. Ugomvi huu hata zari ana tatizo na Huyo mama kwa kiasi chake.Uko sahihi mkuu mama yule Ni kijipu uchungu cha matakoni