Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

I agree with you ma dia
 
Dah! Huyo mwanamke hana chembe ya staha mafanikio ya mwanawe yame muwehua hajifai.
 
Upo sahihi sana mkuu.
Wiki chache zilizopita Diamond alihojiwa na Dula ktk Planet Bongo akaongelea ni kweli ametoboa pua ila Mungu hajapenda atoboe pua sababu baada ya mfungo wa ramadhani pua iliziba kwa hiyo akaona hamna haja ya kuitoboa tena.

Aliongezea kusema hayo ni mambo yake binafsi mashabiki hayawahusu ni kumuingilia katika maisha yake.
Nilinyong'onyewa mkuu mpk leo bado sijaamini kama ni yeye ametamka maneno hayo. (Vijana wa kiume wakianza kutoboa pua kupitia kioo hiki cha jamii itakuwaje baadae)
 
Hii haina tofaut na;
.simpend mondi,
..kwann?
.Anadhalilisha wanawake.
..Kamdhalilisha nan
.Alimrecord wema wakat alivyokua na penny.

Support kazi yake, tabia yake muachie mwenyewe. Mapenz ya kumpenda m2 mpk maisha yake binafsi huo upendo bora ukaipende familia yako. Yule bibi ndio mswahili lkn sio ticket ya kuacha kumfatilia mondi kisa mama ake.
 
Ila mashabiki wa Zari/ Mondi hawafanyi poa kumtukana mama yake Dai. Wakumbuke kwamba yule ni mzazi wake Dai, kumtukana ni kusababisha maumivu makali kwa Dai japo hawezi kukiri hadaharani.
Hata kama mzazi akiwa tabullarasa kiasi gani, huwezi kufurahi kuona akitukanwa. Na si kila wakati unaweza kumuamulia mzazi nini cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…