Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Umaarufu umekuwa mkubwa kuliko uwezo wao wa ku handle....
halafu eti management yake iko kimya juu ya haya na haya yatamshusha diamond na hawatoweza kuhandle Tena situation
 
Mama anamtaka hamisaa,mind ana mtaka zari,hahaha mama anaona hapo hasikilizwi,mwanae kachoka kubandua bandua
Ndomo Atakua mwehu akiwaendekeza na kuchukua ushauri wa mama yake kwenye suala la mahusiano yake ya kimapenzi
 
unaweza kumtoa Mswahili uswahilini, lakini huwezi kutoa Uswahili ndani ya mswahili
 
Mkuu mfuatilie inst. Mama niwe wazi kwa maadili Yale angenizaa ningemkana mswahili hatari , na Nadhani akina diamond Ni tabularassa familia nzima
..hii ndo tatizo la familia nzima kumtegemea Mtu mmoja, simjui Zari wala Mama mond! Mond ndo Mtu pekee wa kulimaliza tatizo.. nilichojifunza ni kwamba unaweza kuipigania Sana familia kuwa sehemu flani toka kwenye ufukara, bt wakisha kula, kusaza na kulewa watakushusha bila kituo hata Kama vipo vya mwendo Kasi.. dai Pia Ana shida hapa, alishauriwa hakusikia... Labda bi mkubwa Pia amemfanya mwanae chuma ulete!.. maana Kuna sehemu anajisifu yeye wa kigoma!?..dai kuwa makini Dogo, ndo changamoto za maisha yetu.. shikamana na Zari Kama kweli unampenda hasa kwa wakati huu, the Rest is just bull-shit!
 
****** halafu eti management yake iko kimya juu ya haya na haya yatamshusha diamond na hawatoweza kuhandle Tena situation
Kwanza dai mwenyew amelike post moja ambayo mama ake alikua anachambukwa tena kwa matusi
 
Itupie hapa mkuu maana dai mwenyewe kamchoka bimdash
1475205535227.png
angalia kwa makini hapo utaona like ya diamond.
 
Hii management ya Diamond imeshindwa kuzuia hii shida-kadri siku zinavyoenda its becoming worse,huyu mama akubaliane na hali halisi-sijui nani alimfundisha hizi social website-aangalie sana Adebayo the footballer yalimkuta kama haya ikabidi autangazie ulimwengu kwamba mama yake ni mchawi
Haaaa haaaa ilikuwaje jamani??
 
Back
Top Bottom