Hamisa sijui kwa nini anasumbuka na huyu mchafuzi. Mie naomba kuuliza ni pesa au mapenzi maana dah
Hamisa you are beautiful achana na uswahili tunza watoto wako jenga maisha yako jitunze. Yupo mwanaume aliyeumbwa kwa ajili yako sio mondi na ukoo wake 'malimbukeni'
You can do better than huu ugoro
Unanioa lini kiben 10 wakoHuyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,,kuolewa na miaka 50 vepeee,
We mama kitulize kimdomo chako hiko ukiona wanawake wa daimond wanafaidi ingia wewe ,ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,, ,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi,,
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi,sijui utagombana na nani,mama unawajua wanawake wote wa mwanao ,kati ya mama mbovu kimaadili kwa Tanzania unaongoza aisee
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma View attachment 794274
Na hivi leo sijashiba futari vizurii atakaenichamba tu namchambua mpaka maini na figo shubamiiit
Aisee haya ni matusi kwa wana msimbazi wote.Huyu Maza hana tofauti na Haji Manara, sijui ndugu hawa????
Ungem-dm insta ingependeza zaidiHuyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,,kuolewa na miaka 50 vepeee,
We mama kitulize kimdomo chako hiko ukiona wanawake wa daimond wanafaidi ingia wewe ,ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,, ,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi,,
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi,sijui utagombana na nani,mama unawajua wanawake wote wa mwanao ,kati ya mama mbovu kimaadili kwa Tanzania unaongoza aisee
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma View attachment 794274
Na hivi leo sijashiba futari vizurii atakaenichamba tu namchambua mpaka maini na figo shubamiiit
Pia wewe waweza mfikisha huu ujumbeUngem-dm insta ingependeza zaidi
Ahahhahaah the list kaja na matusi mapyaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina mda mchafu kama wewe wa kupoteza[emoji57] [emoji57] [emoji57]Pia wewe waweza mfikisha huu ujumbe
Afu sijui kaachikaHuyu mama ndiyomaana ameolewa na kibe10 kitapeli.
Kilichokuleta hapa nini gerrrrrraarihiiaaSina mda mchafu kama wewe wa kupoteza[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nlkuwa nazurura tu nkashangaa nimepotelea hukuKilichokuleta hapa nini gerrrrrraarihiiaa
Kakojoe ulale sasaNlkuwa nazurura tu nkashangaa nimepotelea huku
Saa mbili hii nikalale,we kweli unaumwaKakojoe ulale sasa
league.Hamisa hii legue waachie watandale mnakoenda ni kuaibishana.
Na mimi nitamwambia mama angu aanze kuvuta bangi,mama mvuta bangi ameweza kumfanya mwanawe afanikiwe kimaisha,mimi mama angu kutwa kucha kusali hapa nilipo nauza machungwa pembeni ya barabara..Uyo mama tatizo anavuta bange
Hahahahahahaha......ila umeandika kihisia, mtu angekuletea huyo maza nahisi unaweza kumpiga makofi hadi uuweHuyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma
View attachment 794274
Basi kiki zao mbaya kweliMama ni katibu wa propaganda na uenezi hapo wasafi yeye anahakikisha kiki kupitia familia inatengenezwa
Tungekutana vizuriHahahahahahaha......ila umeandika kihisia, mtu angekuletea huyo maza nahisi unaweza kumpiga makofi hadi uuwe
Kafanyaje mpaka kafanikiwa?dai kafanikiwa mwenyeweNa mimi nitamwambia mama angu aanze kuvata bangi,mama mvuta bangi ameweza kumfanya mwanawe afanikiwe kimaisha,mimi mama angu kutwa kucha kusai hapa nilipo nauza machungwa pembeni ya barabara..