Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Hamisa sijui kwa nini anasumbuka na huyu mchafuzi. Mie naomba kuuliza ni pesa au mapenzi maana dah
Hamisa you are beautiful achana na uswahili tunza watoto wako jenga maisha yako jitunze. Yupo mwanaume aliyeumbwa kwa ajili yako sio mondi na ukoo wake 'malimbukeni'
You can do better than huu ugoro
Atamuachaje?? Wakati yeye anataka kuonekana ana date na msanii mkubwa East Africa.