Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #81
Hakuna kikubwa alichofanya kwani kaua?Si sababu walikua wanamtaka hamisa mwanzo. Tena kipindi kile walikua karibu kweli kweli.
Ndio ushangae kutoka kwenye ukaribu ule mpaka chuki kuna lipi kubwa lisilosameheka.
Nasikia eti anafunga bora ale tuHuyu mama mkubwa ila hana akili
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma
View attachment 794274
Kwanza kwa kauli gani mbaya ya hamisa aliyoitoa labda?Wanamchokonoa kila siku hamisa kachokaa
Kwa nini watu mnadhan Hamisa ni wakishua?naye ni Havijawa tuMapenzi ya hivi yanawafaa wakini Naviwe na Havijawa
Zari ana porn xvideo.com ni usafi gani huoAs a parent sioni kibaya alichokisema Mama Dangote.....I applaud her for that. Zari ni mwanamke mzuri sana na naweza sema katika mademu ambao Diamond katembea nao, Zari is the Queen of them all......nobody is close to her. Plus, anajiamini, na wengine hasa kale katoto kachafu kalichopigwa na kupoteza wigi lake la kuokota kule dampo ni waigizaji tu na wako fake as hell. Hata kaka zako wewe LAZIMA watamchagua Zari tu, hakuna mwanamme anayependa demu asiyejituma na kibaya zaidi awe mchafu....ataula wa chuya.
Yaan wanamuonaga zari wa maana wakati hovyo tu naeKwanza kwa kauli gani mbaya ya hamisa aliyoitoa labda?
Kuongea siku moja tu ndo wametafuta sababu wanaaafiki tu!!huyo zari alikua anawatukana mle ndani kizungu vzr..juzi kamuita dai mbwa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]waambie waache unaaafiki!hamisa ana moyo hana jiwe
Hayo ndio wanajua wao. Mengine mpaka wayatangaze ndio tujue.Hakuna kikubwa alichofanya kwani kaua?
ivi ni kwaniniAwachambe kidogo,halaf sasa mapenzi ya hivi huwa yananoga balaaa
Zari ana porn xvideo.com ni usafi gani huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi nitamwambia mama angu aanze kuvata bangi,mama mvuta bangi ameweza kumfanya mwanawe afanikiwe kimaisha,mimi mama angu kutwa kucha kusai hapa nilipo nauza machungwa pembeni ya barabara..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleee!!pole!As a parent sioni kibaya alichokisema Mama Dangote.....I applaud her for that. Zari ni mwanamke mzuri sana na naweza sema katika mademu ambao Diamond katembea nao, Zari is the Queen of them all......nobody is close to her. Plus, anajiamini, na wengine hasa kale katoto kachafu kalichopigwa na kupoteza wigi lake la kuokota kule dampo ni waigizaji tu na wako fake as hell. Hata kaka zako wewe LAZIMA watamchagua Zari tu, hakuna mwanamme anayependa demu asiyejituma na kibaya zaidi awe mchafu....ataula wa chuya.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma
View attachment 794274
Nenda kamuoe wewe jamani kwani mmekatazwa!!Ile si porn, hajatengeneza for the public to see.....unaelewa maana ya porn lakini?
KabisaaaaaaAliepewa kapewa
Kuishi ni kuchagua
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma
View attachment 794274
Kaa mwanangu kampenda siwezi muingilia,huwezi jua anaifurahia ile harufu ya mikojoMama Diamond has a valid point. Wewe Mama Sabrina ungemwacha mwanao aoe mwanamke anayejikojolea ama mchafu? Yaani mwanamke anashindwa hata kujifulia chupi na kuosha liwigi la hajabu?
Yani hamisa amuache dai, Wakati anajiona kazaa na Obama pale alipo,,kalimbuka haswaa anajiona hakunaga tena ,,hapo hata diamond amfanyaje atang'ang'ana,,,yani ukiona wameachana basi diamond ametaka sio yeyeHamisa sijui kwa nini anasumbuka na huyu mchafuzi. Mie naomba kuuliza ni pesa au mapenzi maana dah
Hamisa you are beautiful achana na uswahili tunza watoto wako jenga maisha yako jitunze. Yupo mwanaume aliyeumbwa kwa ajili yako sio mondi na ukoo wake 'malimbukeni'
You can do better than huu ugoro