Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Si sababu walikua wanamtaka hamisa mwanzo. Tena kipindi kile walikua karibu kweli kweli.
Ndio ushangae kutoka kwenye ukaribu ule mpaka chuki kuna lipi kubwa lisilosameheka.
Hakuna kikubwa alichofanya kwani kaua?
 
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee

We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi

Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao

Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma

View attachment 794274

As a parent sioni kibaya alichokisema Mama Dangote.....I applaud her for that. Zari ni mwanamke mzuri sana na naweza sema katika mademu ambao Diamond katembea nao, Zari is the Queen of them all......nobody is close to her. Plus, anajiamini, na wengine hasa kale katoto kachafu kalichopigwa na kupoteza wigi lake la kuokota kule dampo ni waigizaji tu na wako fake as hell. Hata kaka zako wewe LAZIMA watamchagua Zari tu, hakuna mwanamme anayependa demu asiyejituma na kibaya zaidi awe mchafu....ataula wa chuya.
 
Wanamchokonoa kila siku hamisa kachokaa
Kwanza kwa kauli gani mbaya ya hamisa aliyoitoa labda?

Kuongea siku moja tu ndo wametafuta sababu wanaaafiki tu!!huyo zari alikua anawatukana mle ndani kizungu vzr..juzi kamuita dai mbwa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]waambie waache unaaafiki!hamisa ana moyo hana jiwe
 
Zari ana porn xvideo.com ni usafi gani huo
 
Kwanza kwa kauli gani mbaya ya hamisa aliyoitoa labda?

Kuongea siku moja tu ndo wametafuta sababu wanaaafiki tu!!huyo zari alikua anawatukana mle ndani kizungu vzr..juzi kamuita dai mbwa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]waambie waache unaaafiki!hamisa ana moyo hana jiwe
Yaan wanamuonaga zari wa maana wakati hovyo tu nae
 
Ndomana walibwagana na bwanake kumbe haka ndo kakorofi afu kakamlisha sumu dmond amuone fazake mbaya
 
As a parent sioni kibaya alichokisema Mama Dangote.....I applaud her for that. Zari ni mwanamke mzuri sana na naweza sema katika mademu ambao Diamond katembea nao, Zari is the Queen of them all......nobody is close to her. Plus, anajiamini, na wengine hasa kale katoto kachafu kalichopigwa na kupoteza wigi lake la kuokota kule dampo ni waigizaji tu na wako fake as hell. Hata kaka zako wewe LAZIMA watamchagua Zari tu, hakuna mwanamme anayependa demu asiyejituma na kibaya zaidi awe mchafu....ataula wa chuya.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poleee!!pole!
Kamuoe wewe Zari sasa jamani kwani mmekatazwa!looh!
 
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee

We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi

Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao

Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma

View attachment 794274
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ile si porn, hajatengeneza for the public to see.....unaelewa maana ya porn lakini?
Nenda kamuoe wewe jamani kwani mmekatazwa!!

Kitanda usicholalia hujui kunguni wake![emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee

We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi

Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao

Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma

View attachment 794274

Mama Diamond has a valid point. Wewe Mama Sabrina ungemwacha mwanao aoe mwanamke anayejikojolea ama mchafu? Yaani mwanamke anashindwa hata kujifulia chupi na kuosha liwigi la hajabu?
 
Kaa mwanangu kampenda siwezi muingilia,huwezi jua anaifurahia ile harufu ya mikojo

Yeye mbona daimond hakumuingilia asiolewe na kibenten unadhani daimond alifurahia??
 
Hamisa sijui kwa nini anasumbuka na huyu mchafuzi. Mie naomba kuuliza ni pesa au mapenzi maana dah
Hamisa you are beautiful achana na uswahili tunza watoto wako jenga maisha yako jitunze. Yupo mwanaume aliyeumbwa kwa ajili yako sio mondi na ukoo wake 'malimbukeni'
You can do better than huu ugoro
Yani hamisa amuache dai, Wakati anajiona kazaa na Obama pale alipo,,kalimbuka haswaa anajiona hakunaga tena ,,hapo hata diamond amfanyaje atang'ang'ana,,,yani ukiona wameachana basi diamond ametaka sio yeye
 
Back
Top Bottom