[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona kiben 10Kaa mwanangu kampenda siwezi muingilia,huwezi jua anaifurahia ile harufu ya mikojo
Yeye mbona daimond hakumuingilia asiolewe na kibenten unadhani daimond alifurahia??
Hata zari hakutaka kuachana na daimond no daimond tu alitaka ,daimond sukari wewe wanawake wengi bongo wanatamani tu hata kuwa na daimondYani hamisa amuache dai, Wakati anajiona kazaa na Obama pale alipo,,kalimbuka haswaa anajiona hakunaga tena ,,hapo hata diamond amfanyaje atang'ang'ana,,,yani ukiona wameachana basi diamond ametaka sio yeye
Zari mbona kagomea msamahaHata zari hakutaka kuachana na daimond no daimond tu alitaka ,daimond sukari wewe wanawake wengi bongo wanatamani tu hata kuwa na daimond
Mchepuko hana kauli nzuri kwa mkwewe. Itakua hata nyumbani huwa wnazinguna ndio maana mama hampendi. Mbona mwanzo walikuaga mashosti. Kuna vitu nyuma ya pazia hawavisemi huyu mama sio chizi
Hata zari hakutaka kuachana na daimond no daimond tu alitaka ,daimond sukari wewe wanawake wengi bongo wanatamani tu hata kuwa na daimond
mkuu mbn unauvunjia heshima huo mmea toka lini mrungi ukaliwa na wenda wazimuMirungi sio bangi..namjua sana! msiomfaham ndio mnapata shida..MTU anaeeza kuvua blauz Na kubaki Na sidiria mbele ya kundi la vijana..Leo mnamshangaa!
Hahahahaha hujatuliamkuu mbn unauvunjia heshima huo mmea toka lini mrungi ukaliwa na wenda wazimu
Mimi simtamani daimond ila wanawake wengi wanapenda wanaume maarufu,,daimond hajaomba msamaha anataka haki ya kuwa anawaona wanae basiZari mbona kagomea msamaha
We pia unamtamani diamond?? Mi naamini mtu mwenye maadili yake hawezi mtaani diamond ,,hao hao mapepe na wadangaji
We nae jinga kweli harusi ya kuigiza unaamini kweliManeno mengine aiseeee unaandika kama unahusika.. acha chuki.. angalia drama tu cheka pita.. unamuongela mtu na pete kavishwa na kideo umekiona DUh
Mtoto umleavyo ndivyo anavyo,nimesikia huyu mama alikuwa hatoki katika matamasha kumpeleka mwanawe aimbe alipokuwa mtoto mdogo,mama angu alikuwa ananipeleka Madrasa nilipokuwa mtotoKafanyaje mpaka kafanikiwa?dai kafanikiwa mwenyewe
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee
We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi
Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao
Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma
View attachment 794274

Mama sabrina hiyo avatar ni wewe ?Afu sijui kaachika
NiringeMama sabrina hiyo avatar ni wewe ?
Hii comment bila link ni uzushi tu [emoji23]Zari ana porn xvideo.com ni usafi gani huo
Kweli tenaaHii comment bila link ni uzushi tu [emoji23]