Mama Diamond utafikiri yeye ndiye ana mtoto wa kiume peke yake Tanzania

Yani hamisa amuache dai, Wakati anajiona kazaa na Obama pale alipo,,kalimbuka haswaa anajiona hakunaga tena ,,hapo hata diamond amfanyaje atang'ang'ana,,,yani ukiona wameachana basi diamond ametaka sio yeye
Hata zari hakutaka kuachana na daimond no daimond tu alitaka ,daimond sukari wewe wanawake wengi bongo wanatamani tu hata kuwa na daimond
 
Zari mbona kagomea msamaha

We pia unamtamani diamond?? Mi naamini mtu mwenye maadili yake hawezi mtaani diamond ,,hao hao mapepe na wadangaji
 
Mchepuko hana kauli nzuri kwa mkwewe. Itakua hata nyumbani huwa wnazinguna ndio maana mama hampendi. Mbona mwanzo walikuaga mashosti. Kuna vitu nyuma ya pazia hawavisemi huyu mama sio chizi

Na ile ya kumwambia mwanaume juu ya kumfulia Mama yake pichu.. hata mwanamke asiyejielewa hawezi kutamka hata akiwa ndani.. yeye akayaandika na kuandika kama mshindi.. kumtusi Mama wa mwanaume unalilia kuwa naye ni duh
 
Hata zari hakutaka kuachana na daimond no daimond tu alitaka ,daimond sukari wewe wanawake wengi bongo wanatamani tu hata kuwa na daimond

Maneno mengine aiseeee unaandika kama unahusika.. acha chuki.. angalia drama tu cheka pita.. unamuongela mtu na pete kavishwa na kideo umekiona DUh
 
Zari mbona kagomea msamaha

We pia unamtamani diamond?? Mi naamini mtu mwenye maadili yake hawezi mtaani diamond ,,hao hao mapepe na wadangaji
Mimi simtamani daimond ila wanawake wengi wanapenda wanaume maarufu,,daimond hajaomba msamaha anataka haki ya kuwa anawaona wanae basi
 
Maneno mengine aiseeee unaandika kama unahusika.. acha chuki.. angalia drama tu cheka pita.. unamuongela mtu na pete kavishwa na kideo umekiona DUh
We nae jinga kweli harusi ya kuigiza unaamini kweli
 
Kafanyaje mpaka kafanikiwa?dai kafanikiwa mwenyewe
Mtoto umleavyo ndivyo anavyo,nimesikia huyu mama alikuwa hatoki katika matamasha kumpeleka mwanawe aimbe alipokuwa mtoto mdogo,mama angu alikuwa ananipeleka Madrasa nilipokuwa mtoto
 
Huyu mama sijui yupoje mbona ye kaolewa na kibenten tena alijitolea mahali na harusi akajigharamia,, kuolewa na miaka 50 vepeee

We mama tuliza mdomo. Ungepata mkwe kama mim ungenitambua yaan ungekuwa unalia kila siku maana huna adabu ,,umekutana na mama mobeto mpole tu nisingekuacha ningekufanya usiku hulali unaniwaza tu.. maana una mdomo we mama waige kina mama Kiba basi

Siku Daimond akiwa hayupo sijui mtaongelea hiyo midomo wapi, sijui utagombana na nani, mama unawajua wanawake wote wa mwanao

Wengine mngeacha kufunga tu mnashinda njaa kabisa kulenii tu hasa mama dangote na esma

View attachment 794274

Waacheni na maisha yao, wewe pambana na yako. Ndivyo alivyoumbwa utafanyaje?
 
Mswahil akipata utamjua tu.
Ulimbukeni fulu.
Kama ni wapangaji wenzake siku akipika kuku sio kudolishiwa huku!kuku atachunwa ngozi uwani!kama mmelala kuku atabonyezwa hadi alie ilihali ameshachinjwa!uswahilini vioja haviishi mtu akinunua redio ni sauti juu maatarau hadi mumuelewe.ndo mama dai huyo
 
Back
Top Bottom