Mama Diamond utamshusha Diamond

Mama Diamond utamshusha Diamond

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten


Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama

Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
 
Hivi huyo mama yupo humu JF? Naomba kujua anatumia ID gani nina ujumbe wake
 
Mama bora aendelee kuwa karibu na mwanae Maana akikaa mbali tu wanawake wa kibongo hamkawii kumpa limbwata mwanae ili mle pesa yake!

Maana sehemu kubwa wasichana wa bongo wana ndoto ya kulala na Diamond kisa pesa+ umaarufu!

Namshauri mama aendelee kuwa makini
 
Hyu mama ana gubu baya sana, mpaka zari kipindi kile alikimbia na kwenda south Africa.sababu ya hyo mambo .mama anaingia chumbani kwa mwanae kama hana mke kifupi yule mama ajui mipaka yake sawa mtoto kwa mama hakui lkn si kivile.
 
Back
Top Bottom