Mama Diamond utamshusha Diamond

Mama Diamond utamshusha Diamond

Hyu mama ana gubu baya sana, mpaka zari kipindi kile alikimbia na kwenda south Africa.sababu ya hyo mambo .mama anaingia chumbani kwa mwanae kama hana mke kifupi yule mama ajui mipaka yake sawa mtoto kwa mama hakui lkn si kivile.
Yaan ana shidaaa kubwa
 
Mama bora aendelee kuwa karibu na mwanae Maana akikaa mbali tu wanawake wa kibongo hamkawii kumpa limbwata mwanae ili mle pesa yake!

Maana sehemu kubwa wasichana wa bongo wana ndoto ya kulala na Diamond kisa pesa+ umaarufu!

Namshauri mama aendelee kuwa makini
Hapana bana hatupo hivyooo kabisa
 
Back
Top Bottom