Mama Diamond utamshusha Diamond

Mama Diamond utamshusha Diamond

[emoji23][emoji23] gubu la mama mkwe nilikuwa nalisikia ila sahivi nimeliona mama haliki yule si kwa mchuzi wala mkavu kote shida yeye
Mama sabrina sema sahivi kapata kiboko yake hamisa mswahili mwenzie full mapichapicha wengine alikuwa anawaonea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapicha picha!ya kichina,kihindi na kiarabu!!!
 
Hyu mama ana gubu baya sana, mpaka zari kipindi kile alikimbia na kwenda south Africa.sababu ya hyo mambo .mama anaingia chumbani kwa mwanae kama hana mke kifupi yule mama ajui mipaka yake sawa mtoto kwa mama hakui lkn si kivile.
Mbaya mnoo ana gubu kama analiwa na yeye!!!
 
Mama bora aendelee kuwa karibu na mwanae Maana akikaa mbali tu wanawake wa kibongo hamkawii kumpa limbwata mwanae ili mle pesa yake!

Maana sehemu kubwa wasichana wa bongo wana ndoto ya kulala na Diamond kisa pesa+ umaarufu!

Namshauri mama aendelee kuwa makini
Apewe Mara ngapi limbwata?!!
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Usiwe na roho kama hiyo... ina maana mama mkwe wako utakua unamshushia kichapo...

Cc: mahondaw
Uzuri mimi mama mkwe huwaga sina wametangulia mbele za haki halaf wana adabu sio kama huyu
Ila mama daimond ningevizia dai hayupo nikamnasa vibao akisema kwa mwanae namuambia ananisingizia tu kwa vile hanipendi
 
Uzuri mimi mama mkwe huwaga sina wametangulia mbele za haki halaf wana adabu sio kama huyu
Ila mama daimond ningevizia dai hayupo nikamnasa vibao akisema kwa mwanae namuambia ananisingizia tu kwa vile hanipendi
Binamu ESMA yuko lock up kakamatwaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]anauza vipodozi feki
 
Huyu mama sijui yupoje mwanae kampa fursa ya kua anazurura nae kwa upendo ,ye amechukulia advantage ya kumcontrol Diamond, mama mtu mzima unatoka kwako na bwana ako unahamia madale ili uishi tu na daimond ,unataka umpangie kila mwanamke anaetaka kuwa nae wanawake wa daimond wote wabaya jamani, si ulee ndoa yako au Shamte ana kibamia nini ndio maana hutulii eti oooh hamisaa hajui hata kutandika kitanda unaendaga chungulia hadi chumbani mwao,hajui kupika daimond levo alokuwa nayo wafanyakazi wote pale madale apikiwe na hamisa ,mama acha gubu wewe ndio utamshusha mwanao,nasikia daimond ameanza kuwa mlevi chakari utashangaa unampa stress hadi aanze tumia madawa ya kulevya,kama mtoto anampenda hamissa mwache apate furaha ,kama anamtaka zari mwache,usimpangie tushaona watoto wengi wanayumba kisa mama zao,mwache mtoto aoe amekua sasa furahia furaha yake ifurahia,furahia mwanao awe na furaha. Unakuwa mama huna adabu mbona ye kakuvumilia kuolewa na kijana rika lake tena pesa anakupa mwanao unahonga vibenten


Nimeshangaa sana kutoka kule unakoishi sijui Tabata kwenda na mmeo shamte,huyo shamte nahisi nae kaolewa tu si kwa kupelekeshwa huko mnapishana tu na
Yaan ningekuwa mimi ndio Hamissa ningeenda kukudumbukiza kwenye ile swimming pool au nigeangaza huku na kule hakuna mtu nikakunasa vibao vitatu vitakatifu na ukisema hakuna alieona huna adabu kabisa we mama

Aisee wenye mama wake wa hivi nawapa polee sana
Ungem-DM insta kwenye account yake ingependeza zaidi,kuja humu kuandika huu upuuzi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwanza sidhani kama yupo humu.
 
Hio ni kiki tu na bahati mbaya kwao royal wedding imeizima vibaya mno insta kote pamejaa picha za harusi
 
Ungem-DM insta kwenye account yake ingependeza zaidi,kuja humu kuandika huu upuuzi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwanza sidhani kama yupo humu.
Joowzey hayakuhusu,halaf nimesubiri ile supi wapiii mi sijaribiwi kama raisi
 
Back
Top Bottom