Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

Mkistaajabu ya Massa haya ya firauni are coming...mi nasubiri kipindi hiki tu nichekelee mie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anashindana na mwanae game ya dinya dinywa!
Mwanae akidinya na yeye anadinywa daaah!

Haishangazi mwanae kuwa na akili za kuambatana na bashite zirobrain
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mond akidinya huku, na bi mkubwa nae anadinywa hivi, nimecheka sana, JF raha sana hasa kwenye hz daladala zetu
 
Diamond alifanya makossa makubwa kuruhusu mama kutumia umaharufu wake kujipatia umaharufu na yeye. Sasa angalia aibu hii, Diamond azae, mama nae azae shame!
Kwani huyo mama ana miaka mingapi jamani?..menopause haijamkamata tu?..ni shida!
 
Duuuuu aibu naona mimi.....Kwakweli
 
Huyu bibi anapenda kuambiwa

Puuush !!! Puuush !!!
 
Hivi NDOA na MIMBA kipi kinaanza?huyu mama ni LIMBUKENI,,,miaka 48 bado unatafunwa hovyo,,,tena bila NDOA,,laana ya MZEE ABDUL itamtafuna yeye na mwanae
 
hahahahaha alichoniacha hoi kabisa kwamba lazima watu wamfatilie kwa maana yeye ni stat
 
Itakuwa ya Ommy vishimo hiyo!
Haya Mondi mwite Baba Dimpoz!
 
Mkistaajabu ya Massa haya ya firauni are coming...mi nasubiri kipindi hiki tu nichekelee mie[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunasubiria pregnancy photoshoot[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…