Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

kutoka kwa diamond mwenyewe aki muwish mwanae kwenye siku ya kuzaliwa.

"kuwa mwanangu uwatembezee kazi ya kutafuta pesa niachie mimi."


hivyo sishangai ni ukoo wa kutembezea na kutembezewa iwe mtoto, mama au kaka.
 
huyo mwanamke mwenye kikofia pembeni ya jamaa ndie mama diamond??
 
Ila kuzaa kwa mwanamke ni haki yake ya msingi, kuna wengi wanangaika kuipata ata iyo mimba, inashindikan,... Mungu alisema zaeni muongezeke, hongera mama dagonte!
Unapomtaja Mungu ktk dhambi kumbuka aliweka pia utaratibu.
 
dunia imekwisha yaani huyu mama ana tatizo gani jamani aisee kweli mamatatizo
 
Kwani ana umri gani huyu mama? Kama umri wake bado unamuwezesha kupata ujauzito na kujifungua salama sioni tatizo la yeye kupata mimba na kujifungua mtoto mjukuu. Ila natumai haruki huku na kule kwa njemba wanaotaka kumtumia ili wawe karibu na mwanae.
Mkuu kuna kitu umesema hapa ....wanaotaka kumtumia ili wawe karibu.......
Hili hawataliona sasa labda baaaaadae
Lakini pia ni kukosa heshima na kujiheshimu mama mtu mzima kukimbizana na vitoto kulinganisha umri wake na mwanae.
Kuna koo zingine hatareeee
Ukiishi kwa ajili ya watu maamuzi yake ndio haya ya ovyo ovyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi NDOA na MIMBA kipi kinaanza?huyu mama ni LIMBUKENI,,,miaka 48 bado unatafunwa hovyo,,,tena bila NDOA,,laana ya MZEE ABDUL itamtafuna yeye na mwanae

Acha ufala miaka 48 bado mdogo sana wewe mwache mama ndoa yake ale maisha
 
Usalama upo?maana wamama wa miaka hii kwakuwalaisishia vijana usafiri hawajambo.
 
Sawa Mama lkn heshima na ustaa wote wa mwanao ndo ukamfanye ommy dimpoz awe baba yake ??? Ovyo kabisa wewe Mama wacha wakutukane tu mpk Dunia iongee
 
Tatizo nini hasa? anasema ameolewa, na ana uja uzito, tatizo nini? Kuwa na mtoto maarufu hakumzuii mama kuendesha maisha yake. mama mwenyewe aonyesha bado umri unamruhusu mwacheni aendeshe maisha yake
Kweli kabisa mbona watu kibao mama zao bado wanaishi na waume zao..kwa umri gami hasa wakumzuia asiwe na mume
 
Hakuna dhambi ya kuzaa, ila ni aibu kama umepita umri wa kuzaa. Huyu si wakushindana na Zari kubeba mimba, bora angekuwa katika ndoa ilikuwa aina shida. Tafsiri yake inaonekana mama malaya
Kwani si ameshasema kaolewa au??
 
Back
Top Bottom