Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

Mama Diamond; Wanaotukana mama za wenzao nawaona ni wapuuzi, Asema ameolewa na atazaa muda si mrefu

Mkuu alishawaambia Fyatueni watoto msiogope..
 
Diamond alifanya makossa makubwa kuruhusu mama kutumia umaharufu wake kujipatia umaharufu na yeye. Sasa angalia aibu hii, Diamond azae, mama nae azae shame!
Kuzaa limekua jambo la aibu mkuu?
 
Mama mondi ni kicheche tu, wakati anasimamia ujenzi wa nyumba ya mondi madale kuna fundi ujenzi mmoja alikua anambandua na kuna cku alimbinua ndani ya pagala wakati mafundi wengine wako nje wanasikilizia miguno!
Aiseee!
 
Who is daddyyy..!!??

60d932f68c6ede5ba611ee0e541cab21.jpg
huyo mkaka hapo ndio baba kijacho
 
Mama mondi ni kicheche tu, wakati anasimamia ujenzi wa nyumba ya mondi madale kuna fundi ujenzi mmoja alikua anambandua na kuna cku alimbinua ndani ya pagala wakati mafundi wengine wako nje wanasikilizia miguno!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] Inteligensia yangu inaniambia wewe ndo fundi, hongera mkuu ulifaidi hawa wahenga watamu sana![emoji1]
 
Iyo kiki tu kwa umri wa huyu mama tayari kashafikia ukomo wa wanawake (menopause) mnakua kama bado hamjui drama za hii family[emoji16] kuolewa sikatai ila kuzaa uyo tayari mbibi
 
Mbona mama zenu wameolewa na wanapigwa?? Kwan yy hana hamu ya kudunywa ingekua ni jambo la aibu basi Mungu asingelihalarisha
Kama haushangai hili ipo siku utaliruhusu kwenye familia/ukoo wenu,ila kwa maadili ya kitanzania na Afrika kwa ujumla ni aibu kubwa,pil ni aibu Mama mwenye umri kama huo kutembea na vijana wadogo tena bila hofu na kujitangaza ndani ya jamii,kujiweka kwenye makundi ya vijana mtandaon na kuanza kutuma jumbe za kihuni huni hata kuzungumza pia,hayo yanafanywa na Mama yaliyoshindikana tu.
 
Mtu anayepinga upuuzi huu ni dhahiri hawezi kuruhusu au hata kumuona Mama yake akiufanya upuuzi huu,lakini anayeunga na kuona si ajabu ni dhahiri anaweza akariluhusu kwake na isiwe ajabu
 
Ila kuzaa kwa mwanamke ni haki yake ya msingi, kuna wengi wanangaika kuipata ata iyo mimba, inashindikan,... Mungu alisema zaeni muongezeke, hongera mama dagonte!
Hahaahhaa mkuu
kwaiyo Tiffa, Nillan na Abduli watakuwa anamsalimiaje mtoto wa mama dangote??
 
Kama watanzania kwa kauli moja tunakubaliana Diamond ni kaka wa taifa basi huyu jamaa ndio baba wa taifa kwa sasa,mama Diamond beki hazikabi kwa jamaa.
Ana Ofisi yake pale WCB na inasemekana diamond yuko kwny process ya kubadili jina ili atumie jina la jamaa.
Huyu jamaa ndio anakula keki ya taifa,na mdogo wake Mondi yuko njiani na jina kapewa tayari anaitwa Tungsten Platinumz
IMG_20171207_213644_629.jpg
 
Back
Top Bottom