Mama diamond: Wanawake wengi wanajitongozesha kwa diamond

Mama diamond: Wanawake wengi wanajitongozesha kwa diamond

Huyu Diamond anazaliwa na mama tu?mbona simsikii baba Diamond!
 
Hii ndio hatari ya mambo ya uswahilini. Yeye ajue huku kujiingiza ingiza kwa mambo ya watoto wanapokuwa masupa staa kutagharimu heshima yake siku moja,amesahau yaliyomkuta mama Wema?
Hawa wasanii wanapata mashabiki sana kwa wakati na hapo ndipo utaona wanapotokea marafiki wengi pia,ila mashabiki wakipotea au ukaingia ugomvi na kutoelewana ujue maadui wanajitokeza na hawasiti kumvunjia heshima mtu kama huyo mama.
Yeye akae pembeni ajilie vyake kimya kimya hayo mambo ya media awaachie wenyewe. Shauri yake asije ishia kulialia


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwani huyu Sukari ya warembo hana baba kila mara anaonekana mama yake tu,na matokeo akina mama ndio wanajifanya kila kitu kwa watotot wao nao wameshajifanya ma Celeb,yasijekatokea ya akina mama Kanumba.Kwani kujitongezesha kwa celeb kuna tatizo gani?kwani huyo mwanawe analazimishwa.Huyo Sukari ya walembo sio mtoto tena kwa hiyo aachiwe uhuru wake.
 
Back
Top Bottom