Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
diamond siku hizi ana kamdomo kaduchuu
Hawa wamama wanatafuta kiki tu hakuna lolote
mie nimerudi juu kukaangalia tena
Haaahahahahaaaha. mbavu zanguuu.
Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka jamani
alaa kumbe!!!Nimeitafakari statement yako kwa dakika 5 nimekosa majibu, umewaza nin kwan??
haa haa kumbe akicheka ndo unafunguka wote....basi asiwe anacheka sana na yeye!!!anakadinya kanaonekana kaduchu
Ngoja Acheke uone!