Hii ndio hatari ya mambo ya uswahilini. Yeye ajue huku kujiingiza ingiza kwa mambo ya watoto wanapokuwa masupa staa kutagharimu heshima yake siku moja,amesahau yaliyomkuta mama Wema?
Hawa wasanii wanapata mashabiki sana kwa wakati na hapo ndipo utaona wanapotokea marafiki wengi pia,ila mashabiki wakipotea au ukaingia ugomvi na kutoelewana ujue maadui wanajitokeza na hawasiti kumvunjia heshima mtu kama huyo mama.
Yeye akae pembeni ajilie vyake kimya kimya hayo mambo ya media awaachie wenyewe. Shauri yake asije ishia kulialia
Sent from my iPad using JamiiForums