Mama diamond: Wanawake wengi wanajitongozesha kwa diamond

Mama diamond: Wanawake wengi wanajitongozesha kwa diamond

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, mambo mbalimbali yanayomhusu mwanaye.

Moja ya Swali aliloulizwa ni hili hapa:

Na hii tabia ya mara (msichana) huyu mara huyu wewe ukiwa kama mama kwako huo unaipokea vipi?

Jibu:

"Na hii tabia ya mara (msichana) huyu mara huyu wewe ukiwa kama mama kwako huo unaipokea vipi?

" Siipokei vizuri laikini sasa nitafanya nini nay eye star, wengine wanajitongozesha bila kutongozwa.

Mi mwenyewe hapa kutwa napigiwa simu mpaka nazima, wananipigia simu wanafikiria Nasib wanajitongozesha mpaka nawatumia meseji mbona mnajitongozesha, hii sio namba ya Nasib hii namba katoa ya biashara ya Tshirt 0716186318 sio namba ya Diamond, namba yake mama yake.sitaki usumbufu, wananitumia mapicha ya uchi , mapicha ya nini sasa ni ustarabu gani h

 
Hawa wamama wanatafuta kiki tu hakuna lolote
 
anachosema mama ni kweli ni hii ni tabia wa watoto wengi wa kike watadhani kutembea na star ndo kumlia vitu vyake .kumbe mnatumika nakuachwa mwisho wa cku wanaharibu wasifu wao . wengi sana mjini hapa wanaishi kwa staili hiyo. hayaaaaaa!
 
Mie nilirudi juu kukiangalia tena hicho kisuruali cha huyo star wetu tu. Sijui kama anaweza kunyanyua mguu na kuruka mtaro.Akithubutu vitako anaviacha nje.

duh, ngoja na mimi nirudi juu kuangali hicho kisuruali kama alivyofanya Heaven on Earth kuangalia domo
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wengi wa bongo ni MACHIZI MaSTAA...tuseme wote ...hata Insta tunaona . . Kutwa kuacha namba kwenye page za wasanii. Yaani daslam ukiwa na kaumaarufu kidogoo tuu hawa mademu hadi utawakinai
 
Mama vipi tena mbona anaingilia privancy watu!
 
Back
Top Bottom