Wazungu wameshatuzunguka wametoa copy ya Feisal....mmoja TFF mahakamani mmoja kambini!Si tunachojua ni kuwa Feisal yupo Avic Town na mechi ijayo atadondoka kwenye pitch
Huo ni mkataba wakata anasaini hiyo ndio ilikua samani yake halisi,
Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
Na thamani yake haikuonekana wala yeye kuipigania mpaka alipokurupuka kwa kukosea taratibu.Huo ni mkataba wakata anasaini hiyo ndio ilikua samani yake halisi
Na thamani yake haikuonekana wala yeye kuipigania mpaka alipokurupuka kwa kukosea taratibu.
Hapo hapo wachezaji kama kina morisson pamoja na kuiacha timu thamani yao ilionekana na kupiganiwa arudi kwa mshahara mzuri tu.
ukiachana na maslahi ya timu, ushawahi kujiuliza endapo kuna maslahi yoyote kwa viongozi kama wangereview mkataba wa Fei na kuupandisha thamani?
Kumtoa mchezaji Ghana then ujue sio gharama ya kitotoNa thamani yake haikuonekana wala yeye kuipigania mpaka alipokurupuka kwa kukosea taratibu.
Hapo hapo wachezaji kama kina morisson pamoja na kuiacha timu thamani yao ilionekana na kupiganiwa arudi kwa mshahara mzuri tu.
ukiachana na maslahi ya timu, ushawahi kujiuliza endapo kuna maslahi yoyote kwa viongozi kama wangereview mkataba wa Fei na kuupandisha thamani?
Alishikiwa bunduki ili akubali 4m? Mshahara ni makubaliano ya pande zote mbili ukiona haikufai ni ruksa kugomea kusaini. Mpaka kasaini inamana kaona inamtosha,
Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
Tokea Feitoto aondoke je kipi Yaanga wamefeli? Ligi kuu wana gap ya point nane na kimataifa wanashika nafasi ya pili. Usitake kulazimisha kuonekana bila Feitoto, Yanga haiwezi kusonga mbele.Inavyoonekana Yanga wanamhitaji, yeye awahitaji.
Sasa ajabu iko wapi hapo! Kupanda bodaboda! Kula ugali na sukari! Kuomna jela nyumbani!!Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.
π Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
π Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
π Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?
Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.
Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.
NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
Kabisa, mikataba imekaa kisanii tu.Kuna mengi nyuma ya hii mikataba.
Mkuu seems unampenda sana Fei fanya kumuongezea mshahara haujakatazwa[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Kuna binadamu wana roho mbaya sana
hivi Mil. 4 kumbe ni ndogo sana kw wengine. Mmeshawahi kuuiliza walimu wanaalipwa shilingi ngapi?Sasa kama analipwa 4m na anasomesha wadogo zake kwa 3.9m kwa nini asile ugali na sukari?
Sasa kama una uchungu si uzaeInatia uchungu sana
Gadiel Michael analipwa sh ngapi?Aisee..Naona mama kaamua kupasua Mbarika, huyu tu je akina Kibwana inakuwaje.
Unalipwa ulichopatana na ukasaini ukitaka nyongeza subiri mkataba mpya.,
Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.