Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867] unaweza kukalia hapo mtoa mada
 
,

Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
Huo ni mkataba wakata anasaini hiyo ndio ilikua samani yake halisi
 
Huo ni mkataba wakata anasaini hiyo ndio ilikua samani yake halisi
Na thamani yake haikuonekana wala yeye kuipigania mpaka alipokurupuka kwa kukosea taratibu.

Hapo hapo wachezaji kama kina morisson pamoja na kuiacha timu thamani yao ilionekana na kupiganiwa arudi kwa mshahara mzuri tu.

ukiachana na maslahi ya timu, ushawahi kujiuliza endapo kuna maslahi yoyote kwa viongozi kama wangereview mkataba wa Fei na kuupandisha thamani?
 
Kumtoa mchezaji Ghana then ujue sio gharama ya kitoto
 
Mama wa kiungo wa Yanga SC Feisali Salum amezidi kutema nyongo kuhusu maisha ya kiungo huyo akiwa kwenye klabu hiyo ya Jangwani/Twiga.

👉 Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

👉 Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.

👉 Kumbe Feitoto akiwa Yanga alikuwa bado anaomba hela ya kula home! Huo mshahara alikuwa anapata kweli?

Angalia video zote 2 umsikie Bi-maza akielezea mambo machache kati ya mengi.

Leo ndiyo marejeo ya shauri la Feisali Vs Yanga SC pale Karume zilipo ofisi za TFF majira ya saa 4 asubuhi hii.

NB: Wale waliongea na wapenzi na mashabiki wa Yanga pale Mbagala Zakhiem wakatoa ahadi ya marejeo ya klabuni waliongea na nani?
Sasa ajabu iko wapi hapo! Kupanda bodaboda! Kula ugali na sukari! Kuomna jela nyumbani!!

Halafu mngemuuliza mhusika huo mshahara wa milioni 4 alikuwa anafanyia nini.
 
Aisee..Naona mama kaamua kupasua Mbarika, huyu tu je akina Kibwana inakuwaje.
 
[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Kuna binadamu wana roho mbaya sana
Mkuu seems unampenda sana Fei fanya kumuongezea mshahara haujakatazwa
 
Sasa kama analipwa 4m na anasomesha wadogo zake kwa 3.9m kwa nini asile ugali na sukari?
hivi Mil. 4 kumbe ni ndogo sana kw wengine. Mmeshawahi kuuiliza walimu wanaalipwa shilingi ngapi?
Suala kusomesha wadogo zake inahusika nini na club? Huo ni uamuzi wake na mipango yake.
 
,

Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Wakati unajibu kumbuka kuwa viongozi wa YANGA sio YANGA ili kujiepusha na ibada.
Unalipwa ulichopatana na ukasaini ukitaka nyongeza subiri mkataba mpya.
As long as alikuwa analipwa alichosaini kwenye mkataba hata angetembea kwa magoti kwenda mazoezini hilo sio kosa la Yanga.
Pesa yake kama alikuwa anaimalizia kusomesha ndugu hiyo ni shida yake.
 
Back
Top Bottom