Upo ibadaniAlishikiwa bunduki ili akubali 4m? Mshahara ni makubaliano ya pande zote mbili ukiona haikufai ni ruksa kugomea kusaini. Mpaka kasaini inamana kaona inamtosha
Usisahau, analipwa walichokubaliana. Ukona umepanda thamani, unaomba kukaa nao chini mjadiliane kwa mujibu wa thamani mpya. Mkishindwana unasepa na kujiunga na timu yenye maslahi makubwa kwa kufuata taratibu za kuhama..!!!Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Nakukumbusha kuna tofauti ya kiongozi wa Yanga na Yanga, hivyo Epuka ibada. Unless ww ndo yule wa asubiri, avumilie na ukihojiwa majibu ni "Hana shida ni kijana wetu huyu"
Tena mama yake Fei nimemsikia akisema, alipohojiwa, kuwa FEI anawahudumia mayatima..!!!! HUKU NI KUTAFUTA PUBLIC SYMPATHY. Hakuna anayelipwa kwa kutazama MASHIDA yaliyoko nyumbani kwake..!!! Kila mtu anayefanya kazi popote, analipwa kwa mujibu wa makubaliano yao kwenye mkataba. FULL STOP. HULIPWI KWA KUONEWA HURUMA WALA UNAVYOJIONA WEWE NI WA MAANA AU WA MUHIMU KIASI GANI KATIKA SEHEMU HUSIKAUnalipwa ulichopatana na ukasaini ukitaka nyongeza subiri mkataba mpya.
As long as alikuwa analipwa alichosaini kwenye mkataba hata angetembea kwa magoti kwenda mazoezini hilo sio kosa la Yanga.
Pesa yake kama alikuwa anaimalizia kusomesha ndugu hiyo ni shida yake.
Yanga mwisho wake ni kwenye kumlipa mshahara. Matumizi ya mshahara wake anayajua yeye mwenyewe, na wala siyo jukumu la Yanga. Akiamua apande boda boda ili hela inayobaki aipeleke kwa YATIMA, hilo lake. Akiamua anunue sukari akale na ugari, hilo lake, akiamua awasaidie anaowataka, hilo lake.Fei na migoli yote hiyo uliotufunga sio wa kupanda bodaboda
Ndio kashapata chaka la kumlipa mahela mengi. Kavunja mkataba kisheria. Nyie roho mbaya mmemganda kama mmzaaYanga mwisho wake ni kwenye kumlipa mshahara. Matumizi ya mshahara wake anayajua yeye mwenyewe, na wala siyo jukumu la Yanga. Akiamua apande boda boda ili hela inayobaki aipeleke kwa YATIMA, hilo lake. Akiamua anunue sukari akale na ugari, hilo lake, akiamua awasaidie anaowataka, hilo lake.
BY THE WAY;
1. KUNA ANAYEJUA FEI ILE 4M ANAYOLIPWA ANAITUMIA VIPI NA WAPI?
2. NYIE MLAOLALAMIKIA 4M YA FEI, NYIE MISHAHARA YENU MNAPANGIWA NA WAAJIRI WENU JINSI NA WAPI PA KUITUMIA?
Kusingekuwa na kesiNdio kashapata chaka la kumlipa mahela mengi. Kavunja mkataba kisheria. Nyie roho mbaya mmemganda kama mmzemzaa
Kesi ya kijinga mkibebwa na TFF kwa maelekezo ya WaziriKusingekuwa na kesi
Hakuna maslahi kwa baadhi ya viongozi kwenye mkataba wa Fei kwa kipindi alichokuwa anauhitaji mpaka pale alipoamua kutumia njia mbadala kitu ambacho hakikutegemewa. Hili ndo tatizo ila mashabiki mpo ibadani mkidhani mnaitetea Yanga kumbe mnatetea tumbo la mtu fulani.Usisahau, analipwa walichokubaliana. Ukona umepanda thamani, unaomba kukaa nao chini mjadiliane kwa mujibu wa thamani mpya. Mkishindwana unasepa na kujiunga na timu yenye maslahi makubwa kwa kufuata taratibu za kuhama..!!!
NARUDIA, UNALIPWA KWA MUJIBU WA MAKUBALIANO/MKATABA, NA SI VILE UNAVYOJIHISI WEWE UNASTAHILI. UKIVUNJA MKATABA UTALIWA KICHWA
Wabongo wengi hawazingatii mikataba. Sasa kuhudumia yatima kunahusiana vipi na Yanga. Hayo ni mambo yake mshahara hauongezeki kisa anayelipwa ana majuku sijui ya familia sijui nini.Tena mama yake Fei nimemsikia akisema, alipohojiwa, kuwa FEI anawahudumia mayatima..!!!! HUKU NI KUTAFUTA PUBLIC SYMPATHY. Hakuna anayelipwa kwa kutazama MASHIDA yaliyoko nyumbani kwake..!!! Kila mtu anayefanya kazi popote, analipwa kwa mujibu wa makubaliano yao kwenye mkataba. FULL STOP. HULIPWI KWA KUONEWA HURUMA WALA UNAVYOJIONA WEWE NI WA MAANA AU WA MUHIMU KIASI GANI KATIKA SEHEMU HUSIKA
Kamwambie mkuu wa wilaya akacheze. Wale watu wanaposema "Tunashukuru Mungu mpira umeisha salama" ueleweHivi siku hizi milioni 4 ni ndogo? Wakuu wa wilaya na ma DED wanalipwa shilingi ngapi? Nyie humu ndani mnaoshadidia kuwa m 4 ni ndogo mnalipwa shilingi ngapi?
ujue unaongea vitu vikubwaYanga mwisho wake ni kwenye kumlipa mshahara. Matumizi ya mshahara wake anayajua yeye mwenyewe, na wala siyo jukumu la Yanga. Akiamua apande boda boda ili hela inayobaki aipeleke kwa YATIMA, hilo lake. Akiamua anunue sukari akale na ugari, hilo lake, akiamua awasaidie anaowataka, hilo lake.
BY THE WAY;
1. KUNA ANAYEJUA FEI ILE 4M ANAYOLIPWA ANAITUMIA VIPI NA WAPI?
2. NYIE MLAOLALAMIKIA 4M YA FEI, NYIE MISHAHARA YENU MNAPANGIWA NA WAAJIRI WENU JINSI NA WAPI PA KUITUMIA?
katika 4m ameshindwa kutafuta gari ya 3m jamii forum?[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Kuna binadamu wana roho mbaya sana