Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

Mama Fei Toto: Fei aliwahi kula ugali na sukari Yanga

Alishikiwa bunduki ili akubali 4m? Mshahara ni makubaliano ya pande zote mbili ukiona haikufai ni ruksa kugomea kusaini. Mpaka kasaini inamana kaona inamtosha
Upo ibadani
 
Kwa mchango wake anastahili kulipwa m4? Nakukumbusha kuna tofauti ya kiongozi wa Yanga na Yanga, hivyo Epuka ibada. Unless ww ndo yule wa asubiri, avumilie na ukihojiwa majibu ni "Hana shida ni kijana wetu huyu"
Usisahau, analipwa walichokubaliana. Ukona umepanda thamani, unaomba kukaa nao chini mjadiliane kwa mujibu wa thamani mpya. Mkishindwana unasepa na kujiunga na timu yenye maslahi makubwa kwa kufuata taratibu za kuhama..!!!

NARUDIA, UNALIPWA KWA MUJIBU WA MAKUBALIANO/MKATABA, NA SI VILE UNAVYOJIHISI WEWE UNASTAHILI. UKIVUNJA MKATABA UTALIWA KICHWA
 
Unalipwa ulichopatana na ukasaini ukitaka nyongeza subiri mkataba mpya.
As long as alikuwa analipwa alichosaini kwenye mkataba hata angetembea kwa magoti kwenda mazoezini hilo sio kosa la Yanga.
Pesa yake kama alikuwa anaimalizia kusomesha ndugu hiyo ni shida yake.
Tena mama yake Fei nimemsikia akisema, alipohojiwa, kuwa FEI anawahudumia mayatima..!!!! HUKU NI KUTAFUTA PUBLIC SYMPATHY. Hakuna anayelipwa kwa kutazama MASHIDA yaliyoko nyumbani kwake..!!! Kila mtu anayefanya kazi popote, analipwa kwa mujibu wa makubaliano yao kwenye mkataba. FULL STOP. HULIPWI KWA KUONEWA HURUMA WALA UNAVYOJIONA WEWE NI WA MAANA AU WA MUHIMU KIASI GANI KATIKA SEHEMU HUSIKA
 
Fei na migoli yote hiyo uliotufunga sio wa kupanda bodaboda
Yanga mwisho wake ni kwenye kumlipa mshahara. Matumizi ya mshahara wake anayajua yeye mwenyewe, na wala siyo jukumu la Yanga. Akiamua apande boda boda ili hela inayobaki aipeleke kwa YATIMA, hilo lake. Akiamua anunue sukari akale na ugari, hilo lake, akiamua awasaidie anaowataka, hilo lake.

BY THE WAY;
1. KUNA ANAYEJUA FEI ILE 4M ANAYOLIPWA ANAITUMIA VIPI NA WAPI?
2. NYIE MLAOLALAMIKIA 4M YA FEI, NYIE MISHAHARA YENU MNAPANGIWA NA WAAJIRI WENU JINSI NA WAPI PA KUITUMIA?
 
Ndio kashapata chaka la kumlipa mahela mengi. Kavunja mkataba kisheria. Nyie roho mbaya mmemganda kama mmzaa
 
Usisahau, analipwa walichokubaliana. Ukona umepanda thamani, unaomba kukaa nao chini mjadiliane kwa mujibu wa thamani mpya. Mkishindwana unasepa na kujiunga na timu yenye maslahi makubwa kwa kufuata taratibu za kuhama..!!!

NARUDIA, UNALIPWA KWA MUJIBU WA MAKUBALIANO/MKATABA, NA SI VILE UNAVYOJIHISI WEWE UNASTAHILI. UKIVUNJA MKATABA UTALIWA KICHWA
Hakuna maslahi kwa baadhi ya viongozi kwenye mkataba wa Fei kwa kipindi alichokuwa anauhitaji mpaka pale alipoamua kutumia njia mbadala kitu ambacho hakikutegemewa. Hili ndo tatizo ila mashabiki mpo ibadani mkidhani mnaitetea Yanga kumbe mnatetea tumbo la mtu fulani.
 
Mi siyo shabiki wa yanga ila kama kweli alisaini mkataba yanga na alikua analipwa 4M hili suala la kula ugali na sukari naona ni maneno tu yakupandikiza ya uongo au labda alikua anakula hivyo kwa mapenzi yake ukizingatia bei ya sukari ipo juu kuliko bei ya mboga za majani au chumvi isije ikawa alifanya kitu kwa mapenzi yake ikaja kusingiziwa waajiri wake mama hatakiwi kuwa muongo.

Kwa shida hizo alizozisema alipitia mwanae ilitakiwa malalamiko yake yawe kuwa mtoto wake hakuwa analipwa mshahara wowote na anaidai club, na siyo kusema eti kachoka kwasababu analipwa mshahara mdogo maana huo mshahara aliukubali mwenyewe na akasaini mkataba kwahiyo autumikie mkataba wake tu na akitaka kuuvunja atimize masharti yaliyowekwa na siyo kutafuta huruma kwa tamaa ya pesa nyingi alizoahidiwa sehem nyingine
 
Yote Aliyoyasema Huyo Mama Ni Kwa Vile Tu Mzazi Lakini Ni Upuuzi Mtupu Ameongea Na Ndio Shida Ya Akili Ya Kudai Talaka Inapoingia Kwenye Masuala Ya Kimpira….Hakuna Uhalali Wa Feisal Kuondoka Yanga Bila Kufuata Utaratibu Hata Aongee Vipi Huyu Mama Haya Mambo Ya Kulalamika Bila Ya Kuwa Na Weledi Wa Mambo Ya Kisheria Na Mikataba Ni Changamoto.. Mwishoe Mtu Anataka Ubinadamu Na Kuonewa Huruma Kwenye Masuala Ya Kisheria…Trash [emoji706]
 
Hivi siku hizi milioni 4 ni ndogo? Wakuu wa wilaya na ma DED wanalipwa shilingi ngapi? Nyie humu ndani mnaoshadidia kuwa m 4 ni ndogo mnalipwa shilingi ngapi?
 
Tena mama yake Fei nimemsikia akisema, alipohojiwa, kuwa FEI anawahudumia mayatima..!!!! HUKU NI KUTAFUTA PUBLIC SYMPATHY. Hakuna anayelipwa kwa kutazama MASHIDA yaliyoko nyumbani kwake..!!! Kila mtu anayefanya kazi popote, analipwa kwa mujibu wa makubaliano yao kwenye mkataba. FULL STOP. HULIPWI KWA KUONEWA HURUMA WALA UNAVYOJIONA WEWE NI WA MAANA AU WA MUHIMU KIASI GANI KATIKA SEHEMU HUSIKA
Wabongo wengi hawazingatii mikataba. Sasa kuhudumia yatima kunahusiana vipi na Yanga. Hayo ni mambo yake mshahara hauongezeki kisa anayelipwa ana majuku sijui ya familia sijui nini.
Angesubiri amalize mkataba wakati wa kurenew anegotiate upya
 
Hivi siku hizi milioni 4 ni ndogo? Wakuu wa wilaya na ma DED wanalipwa shilingi ngapi? Nyie humu ndani mnaoshadidia kuwa m 4 ni ndogo mnalipwa shilingi ngapi?
Kamwambie mkuu wa wilaya akacheze. Wale watu wanaposema "Tunashukuru Mungu mpira umeisha salama" uelewe
 
Yanga mwisho wake ni kwenye kumlipa mshahara. Matumizi ya mshahara wake anayajua yeye mwenyewe, na wala siyo jukumu la Yanga. Akiamua apande boda boda ili hela inayobaki aipeleke kwa YATIMA, hilo lake. Akiamua anunue sukari akale na ugari, hilo lake, akiamua awasaidie anaowataka, hilo lake.

BY THE WAY;
1. KUNA ANAYEJUA FEI ILE 4M ANAYOLIPWA ANAITUMIA VIPI NA WAPI?
2. NYIE MLAOLALAMIKIA 4M YA FEI, NYIE MISHAHARA YENU MNAPANGIWA NA WAAJIRI WENU JINSI NA WAPI PA KUITUMIA?
ujue unaongea vitu vikubwa
hilo jinga ungeacha kulijibu tu unapoteza muda wako
 
[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Kuna binadamu wana roho mbaya sana
katika 4m ameshindwa kutafuta gari ya 3m jamii forum?
 
Kuna watu ukiwasikiliza unaishia kucheka tu! Yaani 4m unasema ndogo? Wenzio tunalipwa laki 3 hakuna posho wala bonus familia zinaishi na hatujataka kuvunja mkataba. Ningekuwa TFF namfungia kujiusisha na mpira maisha aende atafute kazi nyingine ya kulipwa mshahara zaidi huo.
 
Back
Top Bottom